Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

IMG_4515.jpg

IMG_4514.jpg

kwa usafiri huu hunipeleki mm huko
 
Ningelikuwa kiongozi mwandamizi Mafia ningeitengeneza na kufanya kituo kikuu cha cruise ship destination,then ninge facilitate luxury boat ndogo ndogo na helkoptor za kufanya watalii baada ya kufika hapo waweze kwenda aidha mbugani au kufika zanzibar au dar kiwepesi,kutegemeana na matakwa yao.

Gombea waweza pata
 
[emoji23][emoji23]
 
View attachment 2870790

Mliofika Mafia. Mafia machoni pa watanzania wengi bado ni giza. Hata mtu ukimwambia ataje wilaya za Pwani angalabu sana kutaja Mafia!!

Kwa hali hii imenipasa kuuliza kama hata lami ipo???

Hutakaa usikie
Msanii
mchezaji
Mtu maarufu
Au chochote kutoka kisiwa hiki shida nn??
au ni kijiji sana

Pia unaweza pitia

Kwanini Mafia isiwe mkoa wa 32 wa Tanzania?
[emoji419] Kwanini Mafia isiwe mkoa wa 32 wa Tanzania?

APPRECIATION PIA KWA NYUZI HIZI
[emoji3502] Wananchi wa Mafia tunahitaji usafiri wa uhakika na bei nafuu

[emoji3502]Utajiri wa Magofu ya Rapta
[emoji3502] Kisiwa cha Mafia, kwanini hatuambiwi historia ya ukweli?
[emoji3502]Maajabu ya Kisiwa cha Jibondo
[emoji3502]Je Kisiwani Mafia kuna viwanja vya michezo?

NOTABLE MEMBERS
[mention]jay-millions [/mention]
[mention]emmarki [/mention]
[mention]Faana [/mention]
NilifikanMafia mwaka 2020, kimsingi toka Kilindoni kuingia mjini mpaka roundabout niliona mkeka ila kuifikia maeneo kama airport yao hakukuwa na lami na maeneo mengi tu hayakuwa na lami.
 
NilifikanMafia mwaka 2020, kimsingi toka Kilindoni kuingia mjini mpaka roundabout niliona mkeka ila kuifikia maeneo kama airport yao hakukuwa na lami na maeneo mengi tu hayakuwa na lami.

Nenda 2023 uturudishie mrejesho
 
Back
Top Bottom