Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Ningelikuwa kiongozi mwandamizi Mafia ningeitengeneza na kufanya kituo kikuu cha cruise ship destination,then ninge facilitate luxury boat ndogo ndogo na helkoptor za kufanya watalii baada ya kufika hapo waweze kwenda aidha mbugani au kufika zanzibar au dar kiwepesi,kutegemeana na matakwa yao.
Huo ni uwekezan kibiashara , serikali iwek MAZINGIRA wezeshi
 
Barabara za lami zipo lakini kwa jinsi kisiwa kilivyo kidogo ukitembea ndani ya masaa mawili tu au moja na nusu kisiwa chote umekimaliza yani.

Kama kidogo waweke zile za cement rough kama za temeke dar
 
Mtaani
IMG_20230707_192511.jpg
 
Back
Top Bottom