raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Hao jamaa hapo nyuma kama wamedandia hilux d4d vile 😄View attachment 2872998
kwa usafiri huu hunipeleki mm huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao jamaa hapo nyuma kama wamedandia hilux d4d vile 😄View attachment 2872998
kwa usafiri huu hunipeleki mm huko
Hao jamaa hapo nyuma kama wamedandia hilux d4d vile [emoji1]
Hao wamesha yazoea maji wanajua kuogeleaNa wanaujasiri kweli kweli mi hunipandishi humo
Liwale gani mkuu,mimi niko liwale,kuna lami inayokadiri kuwa na urefu wa zaidi ya KM 10,lakini pia kilwa kuna barabara ya lami ,hasa kilwa masoko,na kilwa kivinje kuna kakipande kadogo ka lamihalmashauri nyingi hazina lami za mitaa kama huko liwale, kilwa, karagwe, kakonko nk
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huruhusiwi kuendesha baiskeli huko ukipiga pedal 3 unaingia kwenye maji haitofautiani sana na zanzibar ambapo unaweza kukusanya nchi nzima kwa kupiga filimbi
Huo ni uwekezan kibiashara , serikali iwek MAZINGIRA wezeshiNingelikuwa kiongozi mwandamizi Mafia ningeitengeneza na kufanya kituo kikuu cha cruise ship destination,then ninge facilitate luxury boat ndogo ndogo na helkoptor za kufanya watalii baada ya kufika hapo waweze kwenda aidha mbugani au kufika zanzibar au dar kiwepesi,kutegemeana na matakwa yao.
Palipaswa pafanywe kama kitovu cha utalii kwa namna yakeBarabara za lami zipo lakini kwa jinsi kisiwa kilivyo kidogo ukitembea ndani ya masaa mawili tu au moja na nusu kisiwa chote umekimaliza yani.
Barabara za lami zipo lakini kwa jinsi kisiwa kilivyo kidogo ukitembea ndani ya masaa mawili tu au moja na nusu kisiwa chote umekimaliza yani.
Naataka kujua Nauli ni Tshs ngap..?!
kisiwa hiko hakina hata barabaraGoogle THANDA ISLAND
Mali yangu hiyo Boti NdgNi viboti vidogo viwili kimoja cha Jeshi kimoja sijui cha nani ila ni viduchu
Zuzu mwenyeweMali yangu hiyo Boti Ndg
Wewe yako Kubwa iko wap zuzu wewe