Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maganda gani ya Nje au ya Ndani.Nimekua mshabiki sana wa kula karanga mbichi sikuhizi, Ila nimekua nikizibwia pamoja na maganda yake mana kuzichambua zinakua zinaleta shida.
Je maganda yake hayana madhara yoyote kiafya ?
Maganda gani ya Nje au ya Ndani.
Karanga yenyewe ina Madhara?yandani mkuu, yanayogandana na karanga zenyewe
Karanga yenyewe ina Madhara?
Sasa kama hujawahi kusikia hilo hayo maganda yatakuwa na madhara gani?Sijawahi sikia hilo
Sasa kama hujawahi kusikia hilo hayo maganda yatakuwa na madhara gani?
na ndomana nikauliza ili nipate jua. Ni mazingira yetu tunapokula karanga watu hutoa hayo maganda.
Sasa je ukila na maganda je panatatizo lolote hilo ndio ninalotaka kujua.
Umewahi kuhudhuria msiba wa mtu aliyekufa kwa kutafuna Karanga?
Mkuu una umri gani kwani? Labda tunaweza kupata jibu tukijua umri wako.
Nimekuelewa mkuu.
Ila tu, Wabongo tumbo mbali sana na tutaendelea kuwa mbali na maendeleo ya kiulimwengu.