Je maganda ya karanga hayana madhara?

Je maganda ya karanga hayana madhara?

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Nimekua mshabiki sana wa kula karanga mbichi sikuhizi, Ila nimekua nikizibwia pamoja na maganda yake mana kuzichambua zinakua zinaleta shida.
Je maganda yake hayana madhara yoyote kiafya ?
 
Mkuu una umri gani kwani? Labda tunaweza kupata jibu tukijua umri wako.
 
Sasa kama hujawahi kusikia hilo hayo maganda yatakuwa na madhara gani?

na ndomana nikauliza ili nipate jua. Ni mazingira yetu tunapokula karanga watu hutoa hayo maganda.

Sasa je ukila na maganda je panatatizo lolote hilo ndio ninalotaka kujua.
 
Umewahi kuhudhuria msiba wa mtu aliyekufa kwa kutafuna Karanga?
na ndomana nikauliza ili nipate jua. Ni mazingira yetu tunapokula karanga watu hutoa hayo maganda.

Sasa je ukila na maganda je panatatizo lolote hilo ndio ninalotaka kujua.
 
mimi tangu napata ufahamu wangu karanga nakula na maganda yake na kwangu naona ni tamu kuliko kuzivua ganda.
 
Back
Top Bottom