Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,429
- 2,974
Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha
Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni
Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa naona wananchi wengi wameanza kufunguka Sasa akili
Kingine nauliza huu muingiliano wa jeshi na CCM vp ,? Je CCM Wana ndege za kijeshi pia?
Huu ni wakati wa kampeni je chama kingine kinaweza tumia Mali za jeshi kwenye kampeni zake ? Haya mabango barabarani ni Mali ya CCM naona yote yameandikwa picha za mama tu