Magu anajuwa sana Dr Laz alikua mpinzani 2019 Magu alienda Malawi kumpigia debe Muntharika sawa alienda kumpigia debe Odinga lakini matokeo yake wote tunayafahamu.If cant beat them just.😎Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika uchaguzi huu..
Amna bna yule alikua mpinzan sawa but now ni rais.... Ko hawez kuunga mkono upinzan wa bongo sababu atakosa fulsa za kiuchum za pamoja na tz mfano biashara
Malizia Kwa kusema alikuwa MPINZANI MZALENDO MWENYE MAONO KWA WAMALAWI NA SIO KWA MABEBERUNiko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika uchaguzi huu...
Sisemi aunge upinzani ila ninachosema ni, je kuwa uwepo wake kipindi hiki haiwezi kutafsiriwa kuwa kumbe upinzani unaweza kuchaguliwa katika nchi hizi na maisha yakaendelea.Amna bna yule alikua mpinzan sawa but now ni rais.... Ko hawez kuunga mkono upinzan wa bongo sababu atakosa fulsa za kiuchum za pamoja na tz mfano biashara
"SERIKALI YACHADEMA ITATUMIA WATAALAMU WAKE KUAHAKIKISHA MNAKWENDA KUCHUNGA KWENYE HIFADHI" [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika uchaguzi huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?
Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?
Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. Nobody should come and say that he is there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction""SERIKALI YACHADEMA ITATUMIA WATAALMU WAKE KUAHAKIKISHA MNAKWENDA KUCHUNGA KWENYE HIFADHI" [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)
Hayo mengine kabisa mimi sipo huko. Najua Malawi wana matatizo mengi ya kisiasa ila point yangu iko very simple. Rais pekee ambaye Magufuli anaweza kumualika ambaye siasa zake zinaendana naye ni Kagame au Museveni.Ukishashinda tayari unahama huko na wale wengine ndo wanakuwa wapinzani. Huyu Chakwera keshafanya mambo kibao ya kipuuzi ndani ya muda mfupi. Cabinet yake imejaa ndugu na marafiki zake na keshaanza kuzikimbia ahadi zake
Kwa kifupi keshaanza kubehave like a usual “ruling party” president wa nchi za Africa
Hapangiwi tatizo.Hayo mengine kabisa mimi sipo huko. Najua Malawi wana matatizo mengi ya kisiasa ila point yangu iko very simple. Rais pekee ambaye Magufuli anaweza kumualika ambaye siasa zake zinaendana naye ni Kagame au Museveni.
Lissu 2010 alifanya Mambo ya hovyo, alimteua Dada yake kuwa mbunge Viti maalumu, hakuishia hapo aliwafukuza vijana waliokuwa nguzo ya chama aka hariri katiba na kumgeuza Mbowe mungu mdogo na yeye malaika uchwara.Ukishashinda tayari unahama huko na wale wengine ndo wanakuwa wapinzani. Huyu Chakwera keshafanya mambo kibao ya kipuuzi ndani ya muda mfupi. Cabinet yake imejaa ndugu na marafiki zake na keshaanza kuzikimbia ahadi zake
Kwa kifupi keshaanza kubehave like a usual “ruling party” president wa nchi za Africa
Mungu anafanya kazi kwa ishara, ni ajabu sana, kuja kwa Rais aliyekuwa mpinzani wakati huu wa uchaguzi inaashiria jambo moja nzuri sana kuhusu wapinzani. HUU NI MWAKA WA UPINZANI KUSHINDA, haitakuwa rahisi lakini itakuwa hivyo kwa namna ambazo kila mtu atashangaa.Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu..
Hivi ni nani Mkuu aliwahi kusema kuwa Rais wa Kuwait ni Hayati Saadam Hussein?Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu...
Hivi ninyi wanaume wa Dar mkiandika hiyo "Ko" hua mnamaanisha nini hasa.Amna bna yule alikua mpinzan sawa but now ni rais. Ko hawez kuunga mkono upinzan wa bongo sababu atakosa fulsa za kiuchum za pamoja na Tanzania mfano biashara
Mwenyewe hii nimeshangaa.Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?
Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?
Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Ni kiswahili cha neno " soHivi ninyi wanaume wa Dar mkiandika hiyo "Ko" hua mnamaanisha nini hasa.