Je, Magufuli anajua Rais wa Malawi alikuwa Mpinzani?

Yeye kuwa Raisi kutokea chama cha upinzani haimaanishi kwamba atafanya kazi au kusapoti wapinzani, bali atafanya kazi kwa ushirikiano na serikali iliyopo madarakani, sijui mnafeli wapi nyie

2020/2025 JPM TENA
 
Ila jamaa mbabe ni Rais wa Nchi na ni Waziri wa Ulinzi na Usalama wa Nchi! Inawezekana Magu naye kapenda hiyo style nini. Atakuwa amejifunza kitu.
 
Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.

Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?

Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?

Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Na wala hajui kama Jamaa alikataa kuibiwa kura
 
Yeye kuwa Raisi kutokea chama cha upinzani haimaanishi kwamba atafanya kazi au kusapoti wapinzani, bali atafanya kazi kwa ushirikiano na serikali iliyopo madarakani, sijui mnafeli wapi nyie

2020/2025 JPM TENA
Serikali ipi iliyopo madarakani wakati Bunge lilishavunjwa na Dkt. Magufuli ni mgombea wa Urais kama wagombea wengine, nyie ndiyo hamjui mnafeli wapi kwani sasa mnatumia Polisiccm Tumeccm kuwahujumu Chadema.
 
Ila jamaa mbabe ni Rais wa Nchi na ni Waziri wa Ulinzi na Usalama wa Nchi! Inawezekana Magu naye kapenda hiyo style nini.Atakuwa amejifunza kitu
Hata yeye kaja kushangaa Tanzania kuendelea kuibiwa kura lakini Polisiccm wanalinda chama Tawala
 
Serikali ipi iliyopo madarakani wakati bunge lilishavunjwa na mtukufu magufuli ni mgombea wa Urais kama wagombea wengine, nyie ndiyo hamjui mnafeli wapi kwani sasa mnatumia Polisiccm Tumeccm kuwahujumu chadema
Kwani unadhani na JPM nae ni mzurulaji na muimba mipasho?

Yeye bado ni Raisi wa JMT na urais wake wa awamu ya kwanza utaishia pale atakapoapishwa kwa awamu ya pili, au na hilo mnasubiri Amsterdam aje kuwaambia
 
Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.

Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?

Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?

Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Kumbuka kwamba chama cha Lazarus Chakwela ndicho chama kilicholeta Uhuru wa taifa hilo kikiongozwa Na Dkt. Banda(hayati).

Chama hicho kilidhoofika kama CCM ilivyokuwa imedhoofika kipindi cha Dkt. Jakaya Kikwete.

Baada ya chama hicho Malawi kudhoofika, Wamalawi walifanya majaribio wakakitoa madarakani kisha wakaona matatizo yameongezeka hivyo wamekirudisha madarakani.

Kwa hiyo chama hicho siyo chama cha upinzani ni chama kikongwe sawa Na CCM.
 
Kitengo cha mawasiliano jumba jeupe kina shida kubwa
 
Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.

Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?

Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?

Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?

I don't think he lialaizi! 🤣
 
Kweli mkuu umefikiria nje ya box.Labda Mungu anafunua unafiki wa CCM taratibu.Maana naona kama wamepigwa upofu kwenye hilo!
 
Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.

Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?

Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?

Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Akili zenu zinajua upinzani ni kupinga kila kitu.Wenzenu hawatukani Serikali, wenzenu walikuwa hawali ruzuku wala michango ya wabunge wao, sio wazee wa faru John, sio watu wa kubeza vitu vinavyofanywa na Serikali.
 
Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.

Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?

Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?

Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Wewe Mburula kwelikweli, hivi unadhani upinzani wa Malawi ni wa Mapandikizi kama wa kwako wewe.

Cha kujifunza Vyama vya upinzani kwetu vinaishi kisakosi isiyo kuwa na marejesho. Mfano Ruzuku inapokelewa lakini imekuwa mali ya Mbowe, Michango inachangishwa kwa Wananchi Hakuna mrejesho watu wanapiga pene.

NB: Upinzani wa nyie ni wa kutaka kujionesha kwa Wakoloni ili wakikuona wakununue ili wakutumie kuhujumu Maliasili na uchumi wa nchi kwa Maslahi ya mataifa yao. Mfano Tundu Lissu amelenga kuwasaidia Wakenya wachukue Tanzanite, Ubeligiji - Uchumi wa Burundi na Kongo kusaidia kurudi kwenye milki yao n.k.

Sasa ukiwa na upinzani Mfilisi wa Taifa, Sasa wewe unaona itakuweje na Wananchi wenye akili watawachukuliaje.
 
Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.

Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?

Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?

Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Very stupid from a tupical bavicha...
 
Malizia Kwa kusema alikuwa MPINZANI MZALENDO MWENYE MAONO KWA WAMALAWI NA SIO KWA MABEBERU
Acha uongo, nchi za African hakuna mpinzani anakua mzalendo kwa hao mnawaita mabeberu,
Ni upinzani gani Africa uliweza kuingia mikataba ya hovyo kama alivyoingia Magufuli na Acacia? Ni mpinzani gani ambaye ameomba asaidiwe madawa, kondomu, kujengewa vyoo, Kuingia mikataba ya kununua Ndege kwa siri bila kuwambia raia wake ka Magufuli?
Shida nyie wenye maslahi na utawala wa Dkt. Magufuli mnatetea maslahi yenu kwa kupotosha Umma.
 
Magu anajuwa sana Dr Laz alikua mpinzani 2019 Magu alienda Malawi kumpigia debe Muntharika sawa alienda kumpigia debe Odinga lakini matokeo yake wote tunayafahamu.If cant beat them just.😎
Alimchuuza Mutharika akidhani Wamalawi sawa na Wabongo, Wamalawi waliyakataa matokeo yaliyochakachuliwa, wakazifunga ofisi za tume na funguo kulikabidhi jeshi. Siasa za Malawi watanzania hatuziwezi, Kyle wanasheria wanasimamia sheria tu, wanajeshi hawajihusishi na siasa kanisa na wananchi wanazijua haki zao.
 
Sasa ile dhana ya wapinzani wakipewa nchi wataleta vita huwa wanaiongea sababu wanaona watanzania ni wajinga au kwa sababu gani basi wakiri kwamba walikuwa wanawadanganya
Wapinzani wa TZ ndio watakaoleta Vita kwa kuwa ni limbukeni...tayari wana viaehiria vya mauaji tazama Pemba, tunduma na Njombe...wapinzani wa TZ hawajitambui hufurahia mauaji kwa kuwa wanadhani mauaji ndio njia ya kupata madaraka...humu mitandaoni utawajua tu kwa hoja zao duni...hutumia matusi, kejeli, udhalilishaji na hoja mufilisi Kama za kutojua lugha ya kiingereza wakidhani kujua lugha ya kiingereza ndio sifa, ufahari na uelewa wa issues...wapinzani wa TZ pia ni wazushi na waongo kwa mambo mbalimbali na waoga Kama kunguru..
 
Back
Top Bottom