andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,773
- 119,820
Hata MCP ilikuwa mikononi mwa John Tembo,jitahidi kujisomea kabla hauja changia.Wewe Mburula kwelikweli, hivi unadhani upinzani wa Malawi ni wa Mapandikizi kama wa kwako wewe.
Cha kujifunza Vyama vya upinzani kwetu vinaishi kisakosi isiyo kuwa na marejesho. Mfano Ruzuku inapokelewa lakini imekuwa mali ya Mbowe, Michango inachangishwa kwa Wananchi Hakuna mrejesho watu wanapiga pene.
NB: Upinzani wa nyie ni wa kutaka kujionesha kwa Wakoloni ili wakikuona wakununue ili wakutumie kuhujumu Maliasili na uchumi wa nchi kwa Maslahi ya mataifa yao. Mfano Tundu Lissu amelenga kuwasaidia Wakenya wachukue Tanzanite, Ubeligiji - Uchumi wa Burundi na Kongo kusaidia kurudi kwenye milki yao n.k.
Sasa ukiwa na upinzani Mfilisi wa Taifa, Sasa wewe unaona itakuweje na Wananchi wenye akili watawachukuliaje.
Bakili Muluzi na viongozi maarufu walio fuata lilikuwa zao la mbabe John Tembo na kikundi cha umoja wa vijana wa MCP (YP),baada ya kuasi ndio wamefikia hapo walipo.