Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Na wala hajui kama Jamaa alikataa kuibiwa kuraNiko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?
Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?
Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Ooh duh afadhali umenifundisha kitu.Ni kiswahili cha neno " so
Mfano wa sentensiOoh duh afadhali umenifundisha kitu.
Sema ni vile tu nashangaa "ko" na "so" duh uhusiano wa karibu siuoni kabsa.
Serikali ipi iliyopo madarakani wakati Bunge lilishavunjwa na Dkt. Magufuli ni mgombea wa Urais kama wagombea wengine, nyie ndiyo hamjui mnafeli wapi kwani sasa mnatumia Polisiccm Tumeccm kuwahujumu Chadema.Yeye kuwa Raisi kutokea chama cha upinzani haimaanishi kwamba atafanya kazi au kusapoti wapinzani, bali atafanya kazi kwa ushirikiano na serikali iliyopo madarakani, sijui mnafeli wapi nyie
2020/2025 JPM TENA
Jamaa kaja kumchora tu lakini moyoni anajua anaongea na mzee wa uchakachuajiNa wala hajui kama Jamaa alikataa kuibiwa kura
Hata yeye kaja kushangaa Tanzania kuendelea kuibiwa kura lakini Polisiccm wanalinda chama TawalaIla jamaa mbabe ni Rais wa Nchi na ni Waziri wa Ulinzi na Usalama wa Nchi! Inawezekana Magu naye kapenda hiyo style nini.Atakuwa amejifunza kitu
Kwani unadhani na JPM nae ni mzurulaji na muimba mipasho?Serikali ipi iliyopo madarakani wakati bunge lilishavunjwa na mtukufu magufuli ni mgombea wa Urais kama wagombea wengine, nyie ndiyo hamjui mnafeli wapi kwani sasa mnatumia Polisiccm Tumeccm kuwahujumu chadema
Kumbuka kwamba chama cha Lazarus Chakwela ndicho chama kilicholeta Uhuru wa taifa hilo kikiongozwa Na Dkt. Banda(hayati).Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?
Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?
Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?
Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?
Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Kweli mkuu umefikiria nje ya box.Labda Mungu anafunua unafiki wa CCM taratibu.Maana naona kama wamepigwa upofu kwenye hilo!Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?
Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?
Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Akili zenu zinajua upinzani ni kupinga kila kitu.Wenzenu hawatukani Serikali, wenzenu walikuwa hawali ruzuku wala michango ya wabunge wao, sio wazee wa faru John, sio watu wa kubeza vitu vinavyofanywa na Serikali.Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?
Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?
Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Wewe Mburula kwelikweli, hivi unadhani upinzani wa Malawi ni wa Mapandikizi kama wa kwako wewe.Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?
Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?
Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Very stupid from a tupical bavicha...Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?
Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?
Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?
Acha uongo, nchi za African hakuna mpinzani anakua mzalendo kwa hao mnawaita mabeberu,Malizia Kwa kusema alikuwa MPINZANI MZALENDO MWENYE MAONO KWA WAMALAWI NA SIO KWA MABEBERU
Alimchuuza Mutharika akidhani Wamalawi sawa na Wabongo, Wamalawi waliyakataa matokeo yaliyochakachuliwa, wakazifunga ofisi za tume na funguo kulikabidhi jeshi. Siasa za Malawi watanzania hatuziwezi, Kyle wanasheria wanasimamia sheria tu, wanajeshi hawajihusishi na siasa kanisa na wananchi wanazijua haki zao.Magu anajuwa sana Dr Laz alikua mpinzani 2019 Magu alienda Malawi kumpigia debe Muntharika sawa alienda kumpigia debe Odinga lakini matokeo yake wote tunayafahamu.If cant beat them just.😎
Wapinzani wa TZ ndio watakaoleta Vita kwa kuwa ni limbukeni...tayari wana viaehiria vya mauaji tazama Pemba, tunduma na Njombe...wapinzani wa TZ hawajitambui hufurahia mauaji kwa kuwa wanadhani mauaji ndio njia ya kupata madaraka...humu mitandaoni utawajua tu kwa hoja zao duni...hutumia matusi, kejeli, udhalilishaji na hoja mufilisi Kama za kutojua lugha ya kiingereza wakidhani kujua lugha ya kiingereza ndio sifa, ufahari na uelewa wa issues...wapinzani wa TZ pia ni wazushi na waongo kwa mambo mbalimbali na waoga Kama kunguru..Sasa ile dhana ya wapinzani wakipewa nchi wataleta vita huwa wanaiongea sababu wanaona watanzania ni wajinga au kwa sababu gani basi wakiri kwamba walikuwa wanawadanganya