Je, Magufuli anajua Rais wa Malawi alikuwa Mpinzani?

Hata MCP ilikuwa mikononi mwa John Tembo,jitahidi kujisomea kabla hauja changia.
Bakili Muluzi na viongozi maarufu walio fuata lilikuwa zao la mbabe John Tembo na kikundi cha umoja wa vijana wa MCP (YP),baada ya kuasi ndio wamefikia hapo walipo.
 
kweri kabisa muntharika akamfukuza army commander-Vincent Nundwe hata na chief justice-Andrew Nyirenda kwakusimamia haki za raia mwisho wa siku Dr laz akashinda wote army commander and chief justice wamerejesha kwenye nafasi zawo Malawians wanajutambua.
 
Acha unafiki wewe it was a grand alliance kwajina ya Tonse Alliance ndani kuna vyama saba including MCP ...musiwe waoga nyie kwanza mabadiriko yakifika yamefika sio kwasababu ya Chadema au chama kingine lakini raia wakawaida tuu.
 
Hatari tupu mkuu
 
Inaonekana hujui vizuri historia ya Malawi.
Dr Chakwera ni kiongozi wa MDC ambacho ndio chama cha Hayati Kamuzu Banda, chama tawala cha zamani kabla ya kushindwa na upinzani, sasa Dr Chakwera amekirudisha tena madarakani.
 
Bro Amka Kumekuchaa Hahaha utakuwa unaotaa hahaha
 

MCP ndio chama kilichotawala muda mrefu Malawi kuliko vingine vyote. Ni chama cha aliyekuwa Rais wa kwanza wa malawi, Hasting Kamuzu Banda. Sasa waliopewa madaraka kwa muda yakawashinda wamewarudishia wenyewe.
Unaposema upinzani, hebu kuwa makini kidogo.....
 
Inaonekana hujui vizuri historia ya Malawi.
Dr Chakwera ni kiongozi wa MDC ambacho ndio chama cha Hayati Kamuzu Banda, chama tawala cha zamani kabla ya kushindwa na upinzani, sasa Dr Chakwera amekirudisha tena madarakani.
Malawi Congress Party...chama cha kwanza kutawala malawi huru. Hawa wengine walipopewa dola, wakaendekeza rushwa. Wamefika wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…