Je, Mahakama ya mwanzo inatoa afidavit ya mzazi?

Jiko Koa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2023
Posts
248
Reaction score
825
Nilikuwa nafuatilia passport nikaambiwa niandae Cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi au kiapo/ afidavit.

Naomba kufahamu namna ya kupata afidavit. Je, inawezekana kuipata katika Mahakama ya mwanzo?

Natanguliza shukrani.
 
Inatoa bila shida mkuu

Nadhani ada ni buku tano andaa na buku tano nyingine ya karani
 
Back
Top Bottom