Jiko Koa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2023 Posts 248 Reaction score 825 Sep 21, 2023 #1 Nilikuwa nafuatilia passport nikaambiwa niandae Cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi au kiapo/ afidavit. Naomba kufahamu namna ya kupata afidavit. Je, inawezekana kuipata katika Mahakama ya mwanzo? Natanguliza shukrani.
Nilikuwa nafuatilia passport nikaambiwa niandae Cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi au kiapo/ afidavit. Naomba kufahamu namna ya kupata afidavit. Je, inawezekana kuipata katika Mahakama ya mwanzo? Natanguliza shukrani.
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 Sep 21, 2023 #2 Ngoja waje kukupa muongozo
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 7,621 Reaction score 12,505 Sep 21, 2023 #3 Jiko Koa said: Nilikuwa nafuatilia passport nikaambiwa niandae Cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi au kiapo/ afidavit. Naomba kufahamu namna ya kupata afidavit. Je, inawezekana kuipata katika Mahakama ya mwanzo? Natanguliza shukrani. Click to expand... Inatoa bila shida mkuu Nadhani ada ni buku tano andaa na buku tano nyingine ya karani
Jiko Koa said: Nilikuwa nafuatilia passport nikaambiwa niandae Cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi au kiapo/ afidavit. Naomba kufahamu namna ya kupata afidavit. Je, inawezekana kuipata katika Mahakama ya mwanzo? Natanguliza shukrani. Click to expand... Inatoa bila shida mkuu Nadhani ada ni buku tano andaa na buku tano nyingine ya karani
Jiko Koa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2023 Posts 248 Reaction score 825 Sep 21, 2023 Thread starter #4 Mayu said: Inatoa bila shida mkuu Nadhani ada ni buku tano andaa na buku tano nyingine ya karani Click to expand... Ahsante mkuu
Mayu said: Inatoa bila shida mkuu Nadhani ada ni buku tano andaa na buku tano nyingine ya karani Click to expand... Ahsante mkuu
Jiko Koa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2023 Posts 248 Reaction score 825 Sep 21, 2023 Thread starter #5 JamiiForums nzima iko busy na uzi wa tunda kimasikhara