Je! Mahari ni suala la kisheria?

Je! Mahari ni suala la kisheria?

Hapana ni utaratibu wa kutambua malezi na makuzi ya huyo binti kwa wazazi wake na vile vile kuhakikishia wazazi wake na jamii kuwa unauwezo wa kumtunza na kujenga familia
Mahari ni kununua mwanamke kama nyanya.

Ubaya hutaki kusikia ukweli halisi mahari ni biashara ya utumwa na upuuzi
 
Ndio sio lazima! Ebu fanya majaribio ya kumrubuni binti kutoka familia ya kishua muweke ndani usikilizie!
Kwani siwezi nikaoa kwa kutambulika kwa ndugu na familia wa binti kisha nikafunga nae ndoa na nisitoe mahali?
 
Wewe unayetaka kuchukua binti wa watu bure sikushauri bora uza hicho kisimu chako cha tecno ongezea kwa kufanyakazi za saidia fundi hutakosa hamsini au laki ya kuwanunulia wazazi wake kangale wakafurahi!
 
Kwani siwezi nikaoa kwa kutambulika kwa ndugu na familia wa binti kisha nikafunga nae ndoa na nisitoe mahali?
Utatambulikaje bila kutoa hela? Wanaweza kuwa wanakuona ona tu na binti yao lakini sio mwisho wa siku unamtorosha na kuanza kuishi naye haitakuacha salama hata kama utajimwambafai
 
Utatambulikaje bila kutoa hela? Wanaweza kuwa wanakuona ona tu na binti yao lakini sio mwisho wa siku unamtorosha na kuanza kuishi naye haitakuacha salama hata kama utajimwambafai
Hahahaha kwahiyo njia pekee ya kutambulika kwenye familia ninayoa ni kutoa pesa?

Vipi kama mimi na familia ya binti tukaridhiana kumbeba binti yao bila kutoa hizo mahali?

Vipi kama nikafata taratibu zote za kwenda kwao then tukafunga ndoa na wazazi wakahudhuria na nikafanya hivo bila kutoa mahali?,Bado watakuwa wananiona ona tu?
 
1. Mahari ni nini?
Mahari ni pesa, mali au mali isiyohamishika ambayo mume anaahidi kumpa mke wake au familia yake wakati wa ndoa. Inachukuliwa kuwa muhimu katika baadhi ya tamaduni na dini, na inaweza kutumika kama ishara ya shukrani kwa familia ya mke
=
2. Mahari ni muhimu katika ndoa?
Mahari sio lazima kwa ndoa kuwa halali, lakini katika baadhi ya tamaduni na dini, inaweza kuwa sehemu muhimu ya ndoa. Ikiwa mahari itatolewa au la, na ikiwa ndoa itakuwa batili bila mahari, inategemea sheria za nchi husika, tamaduni, na dini za watu wanaohusika.
=
3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili?
Ndoa bila mahari sio lazima iwe batili. Mahari si lazima kwa ndoa kuwa halali kisheria.
=
4. Nani anahusika kupokea na kutoa mahari?
Kwa kawaida, mume ndiye anayetoa mahari, na familia ya mke ndiyo inayopokea mahari. Hata hivyo, katika baadhi ya tamaduni, mahari inaweza kutolewa kwa mke mwenyewe.
=
5. Je,! Wasiotoa mahari wanatenda kosa gani kisheria?
Kutolewa kwa mahari au la hutegemea mila na desturi za jamii husika. Kutotoa mahari si kosa kisheria, isipokuwa kama imeelezwa wazi kwenye mkataba wa ndoa.
Mleta mada bado hajajibiwa swali lake kiufanisi!!
 
Natumaini mtoa mda umejibiwa kwa ufasaha.
 
Kutoka (Exo) 22:16 Mtu akimshawishi mwanamwali, aliyeposwa na mume, na kulala naye, lazima atatoa mahari kwa ajili yake ili awe mkewe.

Kutoka (Exo) 22:17 Ikiwa baba yake huyo mwanamwali akataa kabisa kumpa, atalipa fedha kama hesabu ya mahari ya mwanamwali ilivyo.
 
Nataka kufahamu zaidi kuhusu utoaji wa mahari kwenye masuala ya ndoa kama:-
1. Mahari ni nini?
2. Mahari ni muhimu katika ndoa?
3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili?
4. Nani anahusika kupokea na kutoa mahari?
5. Je,! Wasiotoa mahari wanatenda kosa gani kisheria?
Karibuni ndugu kwa msaada wenu
Mahari ni suala la kitamaduni sio la kisheria. Hata usipotoa mahari huwezi kushtakiwa ktk mahakama yoyote ya kitaifa au kimataifa. Kama umeoa bila kutoa mahari, wewe endelea kudinya tu hakuna mtu wa kukutisha mkuu. Imeisha hiyooo! Sema HAPANA kwa utoaji MAHARI! Hapanaaaa!
 
Kazi ya Padre ni kutoa mafunzo na kufungisha ndoa sio kufuatilia ulipaji wa mahari.

Sema ulichotaka kusema
Wana data zote, na zinaulizwa upande wa mwanamke. Huku kwetu ndo kulivyo, kama hujatoa mahali na ikathibitishwa, basi huoi.
 
Kwa sheria za TANZANIA ndoa bila mahali ni halali.
 
Nataka kufahamu zaidi kuhusu utoaji wa mahari kwenye masuala ya ndoa kama:-
1. Mahari ni nini?
2. Mahari ni muhimu katika ndoa?
3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili?
4. Nani anahusika kupokea na kutoa mahari?
5. Je,! Wasiotoa mahari wanatenda kosa gani kisheria?
Karibuni ndugu kwa msaada wenu
1. Mahari enzi zile ilikuwa ni shukrani ya wazazi wa binti anaeolewa,kwa kumlea na kumtunza vizuri. Leo hii usifananishe mambo. Leo hii mitoto ya kike ni mijizi,yote ilishachokonolewa,adabu haina(kama vile wazazi wamesahau wajibu wao(ila tusiwalaumu wengine bado wanajitahidi,mitoto ndo iliyoshindikana)). Kwa hiyo sasa hivi si mahari tena, ni bei ya kumnunua mtoto wa kike.

2. Si mhimu. Kwa sababu enzi hizo bado wana heshima,si wazinzi,ilikuwa mwanaume anafurahia kukaa na aliyemtolea mahari. Sasa hivi,kwa vile wanamlala wengi,yatakuwa mhimu kama wote wanaogegeda watachangia. Siyo ununue tunda waje kula tu kimasihala.

3. Sijui mimi. Nijuacho hapo ni kwamba mwanaume anayetoa ni mjinga. Kama bikra sawa. Ila kama ni tunel, bora uchukue bure. Kifupi bila huo mshiko bado ni sawa tu.

4. Wajinga ndio waliwao. Kama wanadai wamelea,wakasomesha, akili na maarifa halina,heshima hamna,kazi ya maana hamna,ukahaba ndo unaongoza, unatoa ili iweje? Haya! Mwanaume wazazi wake hawajamzaa na kumlea? Tena hapo unaenda kuwaondolea mzigo! Bora wawe wanachangia. Yaani watoe bidhaa na pesa juu.

5. Kwani sheria ni nini? Si utaratibu uliotungwa na watu! Hasa wakoloni! Ukitoa mahali,watatoa mimba.

Nimemaliza mimi. Juu yako sasa
 
Back
Top Bottom