Kariakooking1978
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 549
- 1,078
Una kitu utafika mbaliMleta mada bado hajajibiwa swali lake kiufanisi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kitu utafika mbaliMleta mada bado hajajibiwa swali lake kiufanisi!!
Mahari ni kununua mwanamke kama nyanya.Hapana ni utaratibu wa kutambua malezi na makuzi ya huyo binti kwa wazazi wake na vile vile kuhakikishia wazazi wake na jamii kuwa unauwezo wa kumtunza na kujenga familia
Kwani siwezi nikaoa kwa kutambulika kwa ndugu na familia wa binti kisha nikafunga nae ndoa na nisitoe mahali?Ndio sio lazima! Ebu fanya majaribio ya kumrubuni binti kutoka familia ya kishua muweke ndani usikilizie!
Jibu maswaliWe subiri ufumaniwe uozeshwe ndoa ya mkeka
Utatambulikaje bila kutoa hela? Wanaweza kuwa wanakuona ona tu na binti yao lakini sio mwisho wa siku unamtorosha na kuanza kuishi naye haitakuacha salama hata kama utajimwambafaiKwani siwezi nikaoa kwa kutambulika kwa ndugu na familia wa binti kisha nikafunga nae ndoa na nisitoe mahali?
Hahahaha kwahiyo njia pekee ya kutambulika kwenye familia ninayoa ni kutoa pesa?Utatambulikaje bila kutoa hela? Wanaweza kuwa wanakuona ona tu na binti yao lakini sio mwisho wa siku unamtorosha na kuanza kuishi naye haitakuacha salama hata kama utajimwambafai
Mahari ni pesa, mali au mali isiyohamishika ambayo mume anaahidi kumpa mke wake au familia yake wakati wa ndoa. Inachukuliwa kuwa muhimu katika baadhi ya tamaduni na dini, na inaweza kutumika kama ishara ya shukrani kwa familia ya mke1. Mahari ni nini?
Mahari sio lazima kwa ndoa kuwa halali, lakini katika baadhi ya tamaduni na dini, inaweza kuwa sehemu muhimu ya ndoa. Ikiwa mahari itatolewa au la, na ikiwa ndoa itakuwa batili bila mahari, inategemea sheria za nchi husika, tamaduni, na dini za watu wanaohusika.2. Mahari ni muhimu katika ndoa?
Ndoa bila mahari sio lazima iwe batili. Mahari si lazima kwa ndoa kuwa halali kisheria.3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili?
Kwa kawaida, mume ndiye anayetoa mahari, na familia ya mke ndiyo inayopokea mahari. Hata hivyo, katika baadhi ya tamaduni, mahari inaweza kutolewa kwa mke mwenyewe.4. Nani anahusika kupokea na kutoa mahari?
Kutolewa kwa mahari au la hutegemea mila na desturi za jamii husika. Kutotoa mahari si kosa kisheria, isipokuwa kama imeelezwa wazi kwenye mkataba wa ndoa.5. Je,! Wasiotoa mahari wanatenda kosa gani kisheria?
Mleta mada bado hajajibiwa swali lake kiufanisi!!
Hapana, Zipo njia zingine.Hahahaha kwahiyo njia pekee ya kutambulika kwenye familia ninayoa ni kutoa pesa?
Nakubaliana na weweHapana, Zipo njia zingine.
Natumaini mtoa mda umejibiwa kwa ufasaha.Mahari ni pesa, mali au mali isiyohamishika ambayo mume anaahidi kumpa mke wake au familia yake wakati wa ndoa. Inachukuliwa kuwa muhimu katika baadhi ya tamaduni na dini, na inaweza kutumika kama ishara ya shukrani kwa familia ya mke
=
Mahari sio lazima kwa ndoa kuwa halali, lakini katika baadhi ya tamaduni na dini, inaweza kuwa sehemu muhimu ya ndoa. Ikiwa mahari itatolewa au la, na ikiwa ndoa itakuwa batili bila mahari, inategemea sheria za nchi husika, tamaduni, na dini za watu wanaohusika.
=
Ndoa bila mahari sio lazima iwe batili. Mahari si lazima kwa ndoa kuwa halali kisheria.
=
Kwa kawaida, mume ndiye anayetoa mahari, na familia ya mke ndiyo inayopokea mahari. Hata hivyo, katika baadhi ya tamaduni, mahari inaweza kutolewa kwa mke mwenyewe.
=
Kutolewa kwa mahari au la hutegemea mila na desturi za jamii husika. Kutotoa mahari si kosa kisheria, isipokuwa kama imeelezwa wazi kwenye mkataba wa ndoa.
We ni Mkatoliki kwanza?Sio kweli
Mahari ni suala la kitamaduni sio la kisheria. Hata usipotoa mahari huwezi kushtakiwa ktk mahakama yoyote ya kitaifa au kimataifa. Kama umeoa bila kutoa mahari, wewe endelea kudinya tu hakuna mtu wa kukutisha mkuu. Imeisha hiyooo! Sema HAPANA kwa utoaji MAHARI! Hapanaaaa!Nataka kufahamu zaidi kuhusu utoaji wa mahari kwenye masuala ya ndoa kama:-
1. Mahari ni nini?
2. Mahari ni muhimu katika ndoa?
3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili?
4. Nani anahusika kupokea na kutoa mahari?
5. Je,! Wasiotoa mahari wanatenda kosa gani kisheria?
Karibuni ndugu kwa msaada wenu
Kazi ya Padre ni kutoa mafunzo na kufungisha ndoa sio kufuatilia ulipaji wa mahari.We ni Mkatoliki kwanza?
Wana data zote, na zinaulizwa upande wa mwanamke. Huku kwetu ndo kulivyo, kama hujatoa mahali na ikathibitishwa, basi huoi.Kazi ya Padre ni kutoa mafunzo na kufungisha ndoa sio kufuatilia ulipaji wa mahari.
Sema ulichotaka kusema
Hakuna jimbo,parokia au kigango chochote kinacho hifadhi taarifa za walipa mahariWana data zote, na zinaulizwa upande wa mwanamke. Huku kwetu ndo kulivyo, kama hujatoa mahali na ikathibitishwa, basi huoi.
Hakihifadhi, mfano kule Kagera wanauliza bro, mi nishashuhudia , situngi stori hapa.Hakuna jimbo,parokia au kigango chochote kinacho hifadhi taarifa za walipa mahari
1. Mahari enzi zile ilikuwa ni shukrani ya wazazi wa binti anaeolewa,kwa kumlea na kumtunza vizuri. Leo hii usifananishe mambo. Leo hii mitoto ya kike ni mijizi,yote ilishachokonolewa,adabu haina(kama vile wazazi wamesahau wajibu wao(ila tusiwalaumu wengine bado wanajitahidi,mitoto ndo iliyoshindikana)). Kwa hiyo sasa hivi si mahari tena, ni bei ya kumnunua mtoto wa kike.Nataka kufahamu zaidi kuhusu utoaji wa mahari kwenye masuala ya ndoa kama:-
1. Mahari ni nini?
2. Mahari ni muhimu katika ndoa?
3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili?
4. Nani anahusika kupokea na kutoa mahari?
5. Je,! Wasiotoa mahari wanatenda kosa gani kisheria?
Karibuni ndugu kwa msaada wenu