Je, Mahindi ya kuchoma ni salama kwa afya?

Tuliwahi kupita yanachomwa sehem, wanangu wadogo wakaniuliza eti hizo ni nini?

Nikawaambia ni keki toleo jipya, nikaona wasintanie nikanunua kama mahindi sita ambayo hayaja chomwa kesho yake nikaamrisha yachemshwe ndio iwe kitafunio cha chai...🤣

Sasa cha ajabu, wakayapenda wakawa wanataka tena...😂
 
Tuliwahi kupita yanachomwa sehem, wanangu wadogo wakaniuliza eti hizo ni nini...??
Nikawaambia ni keki toleo jipya, nikaona wasintanie nikanunua kama mahindi sita ambayo hayaja chomwa kesho yake nikaamrisha yachemshwe ndio iwe kitafunio cha chai...🤣
Sasa cha ajabu, wakayapenda wakwa wanataka tena...😂
Watoto zako wamekulia kwenye magorofa.
 
Tuliwahi kupita yanachomwa sehem, wanangu wadogo wakaniuliza eti hizo ni nini...??
Nikawaambia ni keki toleo jipya, nikaona wasintanie nikanunua kama mahindi sita ambayo hayaja chomwa kesho yake nikaamrisha yachemshwe ndio iwe kitafunio cha chai...[emoji1787]
Sasa cha ajabu, wakayapenda wakwa wanataka tena...[emoji23]
Mkuu hao watoto wamekulia Ulaya wasio jua au kuona mahindi ya kuchoma? Kwasabb hapa Dar kila sehemu wachoma mahindi wapo hata Uzunguni
 
inafikirisha. unasabababu ya kwanini umeuliza mpaka hapo, mahindi pekee na si viazu au mihogo ya kuchoma?
tule jamani zaidi huwa yanashikwa shikwa kupata laini ama gumu kwa wengne(hapa huwa wananiacha hoi, maana kuna wengne wanashka na vimavi mavi vyao tunawastahi tu [emoji848]
 
Tuliwahi kupita yanachomwa sehem, wanangu wadogo wakaniuliza eti hizo ni nini...??
Nikawaambia ni keki toleo jipya, nikaona wasintanie nikanunua kama mahindi sita ambayo hayaja chomwa kesho yake nikaamrisha yachemshwe ndio iwe kitafunio cha chai...[emoji1787]
Sasa cha ajabu, wakayapenda wakwa wanataka tena...[emoji23]
JF bhana, aya nshomile umeshaonekana.
Humu kila mtu bilionea kasoro mimi tu (muuza bia)
 
inafikirisha. unasabababu ya kwanini umeuliza mpaka hapo, mahindi pekee na si viazu au mihogo ya kuchoma?
tule jamani zaidi huwa yanashikwa shikwa kupata laini ama gumu kwa wengne(hapa huwa wananiacha hoi, maana kuna wengne wanashka na vimavi mavi vyao tunawastahi tu [emoji848]
Huwa nikimuona mtu anashikashika mahindi sinunui tena na namsomea muuzaji.
 
Back
Top Bottom