Je, Mahindi ya kuchoma ni salama kwa afya?

Je, Mahindi ya kuchoma ni salama kwa afya?

Yanaweza kusababisha colon cancer especially those grown with chemicals

Sasa kama kuna matumizi ya kemikali kwenye ukuzaji, ina maana hata matumizi mengine ya mahindi kama unga wake utakuwa na madhara...
 
Habari wakuu,

Nauliza ulaji wa mara kwa mara mahindi ya kuchoma. Je nisalama kwa afya juu

Mahindi ni moja ya vyakula vyenyre kampaundi zilizo na antinutrients kiasi cha zuia ufyonzaji wa nutrients muhimu kwenda kwenye mwili kwa kiasi kikubwa...

Usiendekeze sana ulaji uliopitiliza wa mahindi, mihogo, viazi n.k...
 
Back
Top Bottom