Je, Mahindi ya kuchoma ni salama kwa afya?

Je, Mahindi ya kuchoma ni salama kwa afya?

Wabongo wakipata tuhela kidogo tu watakuja kukwambia ugali una madhara
 
Watoto wa maghorofani hawajui mambo ya kiasili, wengi wao Ni maisha ya ki-artificial. Hawawezi kutamka mama (wao husema mummy), hawawezi kutamka Baba (wao husema daddy).

Nakupongeza Sana "daddy Ushimen " kwa maisha ya ki-artificial kwa watoto zako.
Tafuta hela mkuu...😂
 

Attachments

  • IMG-20241225-WA0032.jpg
    IMG-20241225-WA0032.jpg
    50.1 KB · Views: 2
Kuna siku utauliza hv unywaji wa chai una madhara.mzee usiwaze kuhusu maisha utakonda bure.kula kunywa upendacho,ondoa stress.upendo uwe ni wimbo wako hakikà utaenjoy life.
Utunzaji wa fedha una madhara yoyote kimaisha?
 
Janabi Leo anachoma nyama,anadanganya wengine wasile nyama choma
Ukiangalia picha hiyo wapo kwenye hafla fulani wala hatujaona Janabi akila nyama.
Yeye anasema mwisho kunywa juisi ni miaka 20 iliyopita ila sio kwamba kwa nafasi aliyonayo hapati mialiko kwenye shughuli zenye vyakula na vinywaji mbalimbali hasa ukizingatia huyu Janabi na Kikwete ni marafiki wakubwa.
Kwahiyo yeye akialikwa sehemu kama hiyo anakunywa maji na wali kidogo na kukaa pembeni kuangalia watu wanavyoshambulia majuisi na manyama.
 
Tuliwahi kupita yanachomwa sehem, wanangu wadogo wakaniuliza eti hizo ni nini?

Nikawaambia ni keki toleo jipya, nikaona wasintanie nikanunua kama mahindi sita ambayo hayaja chomwa kesho yake nikaamrisha yachemshwe ndio iwe kitafunio cha chai...🤣

Sasa cha ajabu, wakayapenda wakawa wanataka tena...😂
Mie kwangu baba yao huwa anayanunua mara kwa mara
Sasa watt wakiyaona hawaelewi mpk yachemshwe. Yaani ukiwaambia subirini mpk kesho wananuna haoo. Wao wakiona mahindi wanafurahi km umewaletea pizza 🤣
 
Mahindi na products zake kama Makande, Uji, Ugali, Mahindi ya Kuchoma, Bisi nk ni vyakula duni kabisa.
Ukienda Hotel kubwa mara nyingi unakuta wameyapika namna tofauti tofauti. Utakuta salad ina mahindi, wali una mahindi, kuna mahindi yamechemshwa yamekatwa vipande vdgvdg. Hii km chakula duni kwa nini mahotel wanapenda kuweka kwenye menu zao?
 
Back
Top Bottom