Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 9,164 Reaction score 18,402 Dec 26, 2024 #61 DR Mambo Jambo said: Constipation Inasababishwa Na Mahindi????? Click to expand... Me naona km napata changamoto hio nikila mara kwa mara Labda km ni tatizo binafsi. Na kikohozi
DR Mambo Jambo said: Constipation Inasababishwa Na Mahindi????? Click to expand... Me naona km napata changamoto hio nikila mara kwa mara Labda km ni tatizo binafsi. Na kikohozi
DR Mambo Jambo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 11,622 Reaction score 26,005 Dec 26, 2024 #62 Angel Nylon said: Me naona km napata changamoto hio nikila mara kwa mara Labda km ni tatizo binafsi. Na kikohozi Click to expand... Labda ni tatizo jingine
Angel Nylon said: Me naona km napata changamoto hio nikila mara kwa mara Labda km ni tatizo binafsi. Na kikohozi Click to expand... Labda ni tatizo jingine
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Dec 26, 2024 #63 DATAZ said: Yanaweza kusababisha colon cancer especially those grown with chemicals Click to expand... Sasa kama kuna matumizi ya kemikali kwenye ukuzaji, ina maana hata matumizi mengine ya mahindi kama unga wake utakuwa na madhara...
DATAZ said: Yanaweza kusababisha colon cancer especially those grown with chemicals Click to expand... Sasa kama kuna matumizi ya kemikali kwenye ukuzaji, ina maana hata matumizi mengine ya mahindi kama unga wake utakuwa na madhara...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Dec 26, 2024 #64 malembeka18 said: Habari wakuu, Nauliza ulaji wa mara kwa mara mahindi ya kuchoma. Je nisalama kwa afya juu Click to expand... Mahindi ni moja ya vyakula vyenyre kampaundi zilizo na antinutrients kiasi cha zuia ufyonzaji wa nutrients muhimu kwenda kwenye mwili kwa kiasi kikubwa... Usiendekeze sana ulaji uliopitiliza wa mahindi, mihogo, viazi n.k...
malembeka18 said: Habari wakuu, Nauliza ulaji wa mara kwa mara mahindi ya kuchoma. Je nisalama kwa afya juu Click to expand... Mahindi ni moja ya vyakula vyenyre kampaundi zilizo na antinutrients kiasi cha zuia ufyonzaji wa nutrients muhimu kwenda kwenye mwili kwa kiasi kikubwa... Usiendekeze sana ulaji uliopitiliza wa mahindi, mihogo, viazi n.k...
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Dec 26, 2024 #65 Mad Max said: Mahindi na products zake kama Makande, Uji, Ugali, Mahindi ya Kuchoma, Bisi nk ni vyakula duni kabisa. Click to expand... Tajiri la JF
Mad Max said: Mahindi na products zake kama Makande, Uji, Ugali, Mahindi ya Kuchoma, Bisi nk ni vyakula duni kabisa. Click to expand... Tajiri la JF