Je, maisha ya wahadzabe ni sifa au aibu kwa nchi?

Alafu wakishabadilika we utanufaika na nini?

Waache waishi maisha yao. Unataka waanze kuimba "No reform No election" ambayo imeshafeli kama mfanyavyo? πŸ˜‚πŸ˜‚

Acha ujuaji na kuingilia maisha ya watu wengine.
Hata Mimi sioni faida ya kuwafosi kubadilika, acha waishi kwenye asili yao! Akiamka anaenda kuwinda na ni uhakika hakosi nyani, familia inakula. No vocha, no bili ya umeme, no hospital, no gari, no need for money, everything free.....
 
Kwakweli waharakishe wawatoe huko waje huku tugombanie mwendo kasi, wakae kwenye foleni masaa matatu manne, wapate stress za kodi na kujenga na ada, wapate stress za kupata vitu vipya vipya vinavyotoka kila siku, wakaishi kwenye slums huko wabanane kama kuku kwenye banda n.k

Kwakweli wanakosa mengi.

On a serious note, shida nayoona mimi hapo ni maji tu. Wapate maji Waoge, wafue, waoshe nyama vizuri mengine waachieni wenyewe.
 
Cha Chaaaba upo?
My name is chaaba ' welcome to Tanzaniaa' hahahahah
 
Content zimeiisha nenda Canada kwenye barafu huko wapo watu km hapo Wanakula Dubu sio Nyani, kitoweo ni kitoweo mradi ushibe
 
Cha kuchekesha wazungu wataona wawastaarabishe waache kula nyama yenye poo, halafu watawafundisha kuchezea poo zao wenyewe! ! ! ! You gerrit?
 
Kabla ya lolote, nahitaji kujua maana ya "WAHADIZABE".. Baada ya hapo ndo nitatia neno.
 
Vizuri pia wakijua kusoma na kuandika.

The reason sub saharan African history is lost / unknown is because tulikuwa hatujui kuandika
 
Watu weusi bana mmeona maana ya wanzungu kuwaletea elimu na zamani nafuu na kinadudukwe cha mtoto nyani s nyani ina semekana wafrica utumwa walikuwa hawasumbui wapoleee so hao watolewe waogeshwe ile iwe ifadhi na security kabisaa
 
Waache waishi maisha yao
 
Vizuri pia wakijua kusoma na kuandika.

The reason sub saharan African history is lost / unknown is because tulikuwa hatujui kuandika
Waacheni na maisha yao mstake kuanza kuwafunga kisa wanaishi na nyala za Serikali watu washazoea kuvaa ngozi za Swala na kula nyama zao leo hii mutake kuwapeleka Keko na Ukonga au sio mnawatengenezea mazingira ya kuwafunga?
 
Aibu kubwa sana, tunadharaulika Waafrika wote
 
Waacheni na maisha yao mstake kuanza kuwafunga kisa wanaishi na nyala za Serikali watu washazoea kuvaa ngozi za Swala na kula nyama zao leo hii mutake kuwapeleka Keko na Ukonga au sio mnawatengenezea mazingira ya kuwafunga?
Kwani huwezi kuwafundisha kusoma huko ukawaacha huko.
 
Wewe uko upande upi
 
Wahadzabe wanaishi ujima kama enzi za kale za mawe, tusiupambe ujima kama mila, utamaduni au desturi.
 
Mimi binafsi sioni shida yoyote mtu kuishi maisha yake ya asili lakini sisi tuliokataa asili zetu na kubadilika kujiona tupo civilized ndo tunapaswa kuona aibu kwa kung'ang'ania mila za watu weupe.
Watu wanaoishi maisha kama hayo Duniani hawapo Tanzania tu wapo nchi nyingi hata huko West wapo.
Hao wanaosema waTz tunaishi maisha ya nyani ungewauliza Tz ina makabila mangapi na ni asilimia ngapi wanaishi maisha hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…