Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Hahahaha hawa ndio wanaoingia vitani kutaka wenzao wawe na dini kama zao, hawajuagi uhuru wa mtu kuchagua atakacho.Jamaa mjinga kweli? Kuna siku atasema pia Wamasai wawe transformed
Hahahaha hawa ndio wanaoingia vitani kutaka wenzao wawe na dini kama zao, hawajuagi uhuru wa mtu kuchagua atakacho.Jamaa mjinga kweli? Kuna siku atasema pia Wamasai wawe transformed
Wewe Binafsi umewahi kufanya jambo gani Ili kuwasaidia hao watu? Au unataka nani afanye badala yako?Kwaiyo ushauri wako tudumishe uzamani??
Tuishi kama wanyama kujaza wazungu??
Wazungu wapi wanaomiminika?? Unaosemea Tz haipo kat hata ya nchi 20 zinazoingiza watalii wengi duniani??
Kwasababu wazungu wachache wanaenda kuwachukua video na kutazama unajua wanawapenda??
Ni video hizo hizo na picha zinazotumika kuendeleza ubaguzi na kurasmisha uovu wa jamii ya muafrika dunia ikiamini hastahiri kuwa binadamu kwa aina ya maisha na akili yake.
Hamna tamaduni ya kula nyama mbichi wala ya kula nyama mbichi ni ukosefu wa maarifa ya kuboresha maisha.
??
DUDUKWEAkili zako
Sasa rationale zangu kukosa au kupata mashiko zinahusiana vipi na wao kuishi maisha yao ambayo ni sustainable na wewe unayeishi maisha ambayo ni unsustainable...; better still wao wameridhika na wewe usiyekula hio pilipili ndio inakuwashaNadhani naww akili yako iko KM1000 nyuma…
Rationale zako zinakosa mashiko
Hayo maisha ya kisasa mnyotaka ndio mwisho mnafirwa na kusagwa ...Hivi karibuni kumezuka trend ya waandishi na Youtube duniani kote kwenda maeneo ya wahadzabe na kuwashangaa na kuwachukua video kuonesha maisha yao ikiwemo Ulaji wa nyani, uzamani wao, lugha yao isiyotamkika wala kuandikika na vingine vingi ambavyo kwa dunia ya leo ni aibu au ni kushangaa!
View attachment 3455013
Pia kumeibuka video youtube youtuber wakitania Tanzania kuwa sisi bado tunaishi maisha ya nyani au ya wanyama kwa uzamani
Swali langu:
Je, ni kitu cha kujivunia au ni Kitu cha aibu?
Unaelewa maana ya sustainable??Sasa rationale zangu kukosa au kupata mashiko zinahusiana vipi na wao kuishi maisha yao ambayo ni sustainable na wewe unayeishi maisha ambayo ni unsustainable...; better still wao wameridhika na wewe usiyekula hio pilipili ndio inakuwasha
Ndo maana umesema ww huoni shida ila siyo duniaHao waachwe na maisha Yao na kamwe dunia haiwezi kuwa na watu wanao fanana.Binafsi huwa sioni shida juu ya maisha ya jamii hiyo.
Dunia haina uhuru huo unao ufikiria tangu mwanzo ni mwenye nguvu kumtawala asiye na nguvu na anaeishi maisha kama nyanHahahaha hawa ndio wanaoingia vitani kutaka wenzao wawe na dini kama zao, hawajuagi uhuru wa mtu kuchagua atakacho.
Sustainable ya hao watu ni kwamba wao ni part ya ecosystem kama specie hawaharibu chochote na waweza kuishi na mazingira yao..., Na ni-qoute wenzao kama hao Red Indians...Unaelewa maana ya sustainable??
Tutajie shule uliyosoma Tujue tatizo lilianzia wap
Ulicho andika hapa umekisoma kabla?Mkuu nadhani ungejibu mbele ya camera usingeongea huu utoporo
Ni aibu kuishi kama wanyama karne ya 21
Hii pia ina rasmisha unyanyasaji unaofanyika dhidi ya mtu mweusi kwa kumuona kama bado mnyama, jamii isiyostaarabika na inayotakiwa kutawaliwa au kuondolewa.
Lakin pia hamna nchi inayoweza kuendelea kama jamiii zake zinaishi maisha ya kinyama au yasiyo na mchango kwa taifa.
Mfano kulipa kodi
Kufanya shughuli zinazochochea maendeleo
Kutumikia taifa (kupitia elimu za nyanja tofaut tofaut)
Fikiria kwanza kama kuna hoja lete
Hujaelewa swali.Yawezekana huelewi maana ya utumwa!
Wahadzabe tangu lini wakawa watumwa?,Wamasai ni watumwa?,Mmasai na muhadzabe wanatofauti gani?
Uko sahihi jamii ya watu wa pwani walikuwa watu wa mwanzoni kufanya biashara na wageni na hatimae kupata mavazi, fedha na chumvi ila sio jamii ya mwanzo kuelimika. Jamii za mwanzo kuelimika ni Wahemiti na Timbuktu huko Ghana ndio maana hapa kwetu hakuna chuo wala alama yoyote iliyoachwa na jamii hiyo kama ukumbusho zaidi ya misikiti walizojengewa ya waarabu .
Wahemiti ndio jamii ya kwanza kugundua na kuvaa nguo.
Achana na Institutions!Institutions
Mimi nitakufa ila institution hazifi
Ndo sustainability hyo