Je, maisha ya wahadzabe ni sifa au aibu kwa nchi?

Wewe Binafsi umewahi kufanya jambo gani Ili kuwasaidia hao watu? Au unataka nani afanye badala yako?
 
Hao waachwe na maisha Yao na kamwe dunia haiwezi kuwa na watu wanao fanana.Binafsi huwa sioni shida juu ya maisha ya jamii hiyo.
 
Nadhani naww akili yako iko KM1000 nyuma…
Rationale zako zinakosa mashiko
Sasa rationale zangu kukosa au kupata mashiko zinahusiana vipi na wao kuishi maisha yao ambayo ni sustainable na wewe unayeishi maisha ambayo ni unsustainable...; better still wao wameridhika na wewe usiyekula hio pilipili ndio inakuwasha
 
Hayo maisha ya kisasa mnyotaka ndio mwisho mnafirwa na kusagwa ...
 
Hayo maisha ya kisasa mnyotaka ndio mwisho mnafirwa na kusagwa ...
Umevaa nguo au uko uchi?
Umekunywa chai au umeenda poriti kuokota matunda pori??

kwanje mtu anaweza akajua uko timamu
 
Sasa rationale zangu kukosa au kupata mashiko zinahusiana vipi na wao kuishi maisha yao ambayo ni sustainable na wewe unayeishi maisha ambayo ni unsustainable...; better still wao wameridhika na wewe usiyekula hio pilipili ndio inakuwasha
Unaelewa maana ya sustainable??

Tutajie shule uliyosoma Tujue tatizo lilianzia wap
 
Hao waachwe na maisha Yao na kamwe dunia haiwezi kuwa na watu wanao fanana.Binafsi huwa sioni shida juu ya maisha ya jamii hiyo.
Ndo maana umesema ww huoni shida ila siyo dunia
Dunia ina shida na watu wa ivi ndio maana mzungu na muarabu walitoka kwao kuja kuwatumikisha.
Backwards haina MSHIRIKA
 
Wewe Binafsi umewahi kufanya jambo gani Ili kuwasaidia hao watu? Au unataka nani afanye badala yako?
Institutions
Mimi nitakufa ila institution hazifi
Ndo sustainability hyo
 
Hahahaha hawa ndio wanaoingia vitani kutaka wenzao wawe na dini kama zao, hawajuagi uhuru wa mtu kuchagua atakacho.
Dunia haina uhuru huo unao ufikiria tangu mwanzo ni mwenye nguvu kumtawala asiye na nguvu na anaeishi maisha kama nyan
 
Unaelewa maana ya sustainable??
Sustainable ya hao watu ni kwamba wao ni part ya ecosystem kama specie hawaharibu chochote na waweza kuishi na mazingira yao..., Na ni-qoute wenzao kama hao Red Indians...

"Only when the last tree has been cut down, the last river poisoned, and the last fish caught, will we realize that we cannot eat money".

i.e. wanaishi sustainably na nature kama part and parcel ya nature; tofauti na wewe nikichukua tu hio nguo ya cotton uliyovaa ambao imeharibu mazingira mpaka kufikia hapo imetumia lita za kutosha za fresh water for irrigation na bado unabadilisha kila leo kwa kuwa brainwashed na marketing (fashion n.k.) your lifestyle is not sustainable vifaa unavyotumia ni linear mode of production (producing a lot of wastes) na sio Circular...
Tutajie shule uliyosoma Tujue tatizo lilianzia wap
 
Ulicho andika hapa umekisoma kabla?
 
Yawezekana huelewi maana ya utumwa!

Wahadzabe tangu lini wakawa watumwa?,Wamasai ni watumwa?,Mmasai na muhadzabe wanatofauti gani?
Hujaelewa swali.

Kutumia binadamu kama maonyesho kwa ajili ya watu kutoka nje ilikuwa ni moja ya matokeo ya utumwa. Hauoni kama nao ni binadamu na wana haki ya kuishi maisha yao bila kuingiliwa?

Wewe utakubali mimi nije nyumbani kwako alafu nianze kuwapiga picha wewe na familia yako na kuwaangalia jinsi mnavyoishi alafu nirushe mtandaoni? Utakubali?
 

Kuelimika sio kustaarabika mkuu. Nguo wote tulikuwa tunavaa ila style zilikuwa tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…