Kwa namna moja au nyingine majina ya ndugu, jamaa, au marafiki huadimika kadiri ya muda na mahali. Kwa mfano, majina mengi ya jamaa wa utotoni hutoweka pale tunapokuwa wakubwa.
Je unaweza kukumbuka majina ya watu, ambayo kwa muda, yamekuwa adimu katika fikra zako?
Mimi nakumbuka majina kama Peter, Emmanuel, Maria, Anna, Elizabeth, Manka, na Happiness yamekuwa adimu tangu niondoke Moshi. Huwa nikiyasikia kwa nadra nakumbuka zama za utoto, na akili inashtuka kidogo.
Wewe je?