Toa sababu za kitaalamu.Hayafai
Huo mkaa unawaka kama petroliToa sababu za kitaalamu.
Swali gumu lisipewe majibu mepesi.
Wananchi Dodoma baadhi wanapikia,
Na ikiwa yanafaa, kwanini rostam aende kuyahodhi,
Je ana mpango wa kuja kuyauza nchini baadae ?
Yana madhara yoyote kiafya?Inahitaji sufuria Zito sana. Mwaka 2021 niliwahi kupata nusu debe la huo mkaa, masufuria yalitobolewa sana. Moto ule una nguvu sana sana. Bonge Moja ukiliwasha unaweza kupika maharage hata mara Tano bado moto mkali.
Moto wake ni mkali sana unatoboa sufuria la kupikiaHayafai
Hayo yalitumika kwenye injini za Gari Moshi ya Tazara 😂😂
Majibu:Salaam!
Nimepenyezewa taarifa tokea Dodoma kuwa,
Wapo baadhi ya wanakijiji yanapopita marori yaliyobeba makaa ya mawe, wananchi Hawa hukaa Pembeni mwa barabara na kusubiri baadhi ya makaa ya mawe yadondokke kutoka Katika haya malori ya kubebea makaa ya mawe na kwenda kuyatumia makaa haya kupikia Katika majiko ya mkaa ya kawaida na wanadai makaa haya ni Bora sana, unapikia hayaishi.
Swali no 1:
Je ni kweli makaa ya mawe yafaa kwa matumizi ya majumbani?
Swali no 2.
Yepi ni madhara ya kiafya kutumia makaa ya mawe kupikia kwa matumizi ya majumbani?
Swali No 3.
Upi uhusiano wa rostam kumiiliki mgodi wa makaa ya mawe akiyapeleka nje hapo hapo akiingiza gesi kuwauzia watanzania?
Kwa hisani ya ChatgptJe ni kweli makaa ya mawe yafaa kwa matumizi ya majumbani?
Point takenMakaa ya mawe au coal hayafai kutumika kwa matumizi ya nyumbani( domestic) sababu ni radioactive.
Radioactive zina madhara makubwa kiafya kama hauna protective gear za kujikinga.
Yanaweza yakasababisha saratani na madhara mengine.
Kumbe pakiwa na mazingira yenye hewa ,unapikia sio!Kwa hisani ya Chatgpt
Ndiyo, makaa ya mawe yanaweza kutumika majumbani, lakini matumizi yake yana faida na changamoto zake. Hebu tuangalie kwa undani:
✅ Faida za makaa ya mawe kwa matumizi ya majumbani
- Chanzo cha nishati chenye nguvu – yanatoa joto la muda mrefu zaidi ukilinganisha na kuni au mkaa wa miti.
- Yanapatikana kwa wingi – katika maeneo yenye migodi (kama Njombe, Mbeya – Tanzania), makaa ya mawe yanapatikana kwa urahisi.
- Hudumu muda mrefu – ukitumia kupikia au kupasha joto, hayaishe haraka kama kuni.
- Bei nafuu – katika baadhi ya maeneo, ni nafuu kuliko gesi au umeme.
❌ Changamoto na madhara ya makaa ya mawe majumbani
- Moshi na gesi hatarishi – makaa ya mawe yakichomwa hutoa gesi kama kaboni monoksidi (CO) na dioksidi ya sulfuri (SO₂) ambazo ni hatari kwa afya, hasa yakitumika sehemu zisizo na hewa ya kutosha.
- Uchafuzi wa mazingira – gesi na vumbi vinavyotokana na makaa ya mawe vinaathiri hewa na kuchangia uharibifu wa mazingira.
- Hatari ya kiafya – matumizi ya muda mrefu majumbani yanaweza kusababisha matatizo ya mapafu, kikohozi sugu, na matatizo ya moyo.
- Kuchafua vyombo na nyumba – moshi wake unaacha masizi (vumbi jeusi) ambavyo huvutia uchafu.
🔑 Hitimisho
- Ndiyo, yanafaa kutumika majumbani hasa kwa kupikia au kupasha moto lakini ni salama zaidi yakitumiwa nje au sehemu yenye hewa ya kutosha (ventilation).
- Kama kuna uwezekano, kutumia gesi, umeme au mkaa wa miti ni salama zaidi kiafya na kimazingira.
- Serikali na wataalam wa nishati wanashauri kupunguza matumizi ya makaa ya mawe majumbani ili kulinda afya na mazingira.
Kama haina madhara kiafya, unaweka kidogo ukichanganya na mkaa mambo yanakwendaHuo mkaa unawaka kama petroli
Umewahi kujaribu?Nafikiri ulitumia chungu unapikia bila tabu
Siyo kweli kwa sababu radioactivity ya material haitegemei moto, ipo tu kiasili (naturally). Kwa hiyo hayo madhara yangewakumba zaidi wanaochimba na siyo wanaotumia!Point taken
Kumbe yawezekana kutumika majumbani?Siyo kweli kwa sababu radioactivity ya material haitegemei moto, ipo tu kiasili (naturally). Kwa hiyo hayo madhara yangewakumba zaidi wanaochimba na siyo wanaotumia!