Je, makaa ya mawe yanafaa kupikia Katika majiko ya majumbani kama mkaa wa kawaida unavyotumika?

Je, makaa ya mawe yanafaa kupikia Katika majiko ya majumbani kama mkaa wa kawaida unavyotumika?

Kuna mahali niliyakuta makaa ya mawe barabaranj nadhani yalimwaga na hayo malori,nikaenda kujaribu kupikia nikichanganya na mkaa wa kawaida
1.Yanachelewa kuwaka sana ila pia yanatoa sana moshi una harufu,ikabidi niyatoe kwenye moto sijatumia tena
2.Yana moto mkali ila inabidi uvumilie ule moshi mwake kwahio nadhani yanahitaji kufanyiwa mchakato wa kuyafanya yatumike nyumbani
Rejea majibu yangu #11!
 
TUNAIMBA MNO TAFITI ZA ULAYA
TUNAIMBA VITA VYA UCHUMI BILA KUJUA
WAO WAYANUNUE, SISI KWETU YAWE HAYAFAI...
AFRIKA TUAMKE
 
Hata gesi hii hii ya kupikia majumbani hii hii ya rostam ya Taifa gesi mbona ina madharau hata ukiwa hujaiwasha jiko. Kuna majiko ya umeme yamekuja ambayo kidogo ni salama hata gharama yake ya umeme Iko chini kuliko hizo gesi ambazo makamba aliwapa bibi zangu mara huko anawaambia kuwa Kuni sio kabisa. Sasa ivi eti mitungi ingawiwa bure
 
Back
Top Bottom