Je, makaa ya mawe yanafaa kupikia Katika majiko ya majumbani kama mkaa wa kawaida unavyotumika?

Majibu:

1. Ndiyo yanafaa lakini ni vema yakasafishwa na maji kuondoa sulphur. Kinachotakiwa ni kuyaponda ponda yawe vipande vidogo, safisha na maji kuondoa sulphur, anika kukausha maji na kisha changanya na mkaa wa kawaida, washa moto na endelea kutumia.

2. Madhara ni yale yale ya kutumia mkaa wa kuni.

3. Hakuna uhusiano kwani Rostam Aziz ni mwekezaji kama wawekezaji wengine. Tofauti tu ni kuwa Rostam Aziz ni fisadi aliyekubuhu nchi hii na amekuwa akitumiwa na viongozi wa serikali na CCM kuhujumu uchumi wa nchi! Hata huo mgodi ameuziwa kwa bei ya chee hivyo kuikosesha serikali na nchi kwa ujumla mapato makubwa ambayo yangepatikana!

Kuhusu mradi wake wa gesi, hakuna uhusiano na mkaa wa mawe!
Kumbe Serikali/Wawekezaji wanaweza kuanzisha kiwanda cha kisafisha na kukata makaa ya mawe kusudi wananchi waweze kupata nishati rahiso ya kupikia!
Kwanini wasifanye hivyo ili kuwapungizoa wananchi gharama za maisha?
 
Veta wafanye utafiti,waje na njia Bora na majiko ya kupikia makaa ya mawe kwa matumizi ya majumbani
Utafiti ulikwishafanyika na sasa wanatakiwa wawekezaji wa kutengeneza coal brikets wawauzie wananchi. Stamico wameanza kutengeneza lakini hakuna wasambazaji! Kwa hiyo unahimizwa kuanza biashara hii!
 
Kumbe Serikali/Wawekezaji wanaweza kuanzisha kiwanda cha kisafisha na kukata makaa ya mawe kusudi wananchi waweze kupata nishati rahiso ya kupikia!
Kwanini wasifanye hivyo ili kuwapungizoa wananchi gharama za maisha?
Wananchi wameshaanza kutumia serikali imelala,

VETA iingie mzigoni haraka.
 
Kumbe Serikali/Wawekezaji wanaweza kuanzisha kiwanda cha kisafisha na kukata makaa ya mawe kusudi wananchi waweze kupata nishati rahiso ya kupikia!
Kwanini wasifanye hivyo ili kuwapungizoa wananchi gharama za maisha?
Wanatafutwa wawekezaji kwa hiyo unaweza kujitokeza!
 
Utafiti ulikwishafanyika na sasa anatakiwa wawekezaji wa kutengeneza coal brikets wawauzie wananchi. Stamico wameanza kutengeneza lakini hakuna wasambazaji! Kwa hiyo unahimizwa kuanza biashara hii!
Fafanua coal brackets zikoje,

Matumizi yake yakoje?
 
Majibu:

1. Ndiyo yanafaa lakini ni vema yakasafishwa na maji kuondoa sulphur. Kinachotakiwa ni kuyaponda ponda yawe vipande vidogo, safisha na maji kuondoa sulphur, anika kukausha maji na kisha changanya na mkaa wa kawaida, washa moto na endelea kutumia.

2. Madhara ni yale yale ya kutumia mkaa wa kuni.

3. Hakuna uhusiano kwani Rostam Aziz ni mwekezaji kama wawekezaji wengine. Tofauti tu ni kuwa Rostam Aziz ni fisadi aliyekubuhu nchi hii na amekuwa akitumiwa na viongozi wa serikali na CCM kuhujumu uchumi wa nchi! Hata huo mgodi ameuziwa kwa bei ya chee hivyo kuikosesha serikali na nchi kwa ujumla mapato makubwa ambayo yangepatikana!

Kuhusu mradi wake wa gesi, hakuna uhusiano na mkaa wa mawe!
Rostam asilaumiwe ni sisi kama taifa tumekaribisha kuliwa na wenye akili!!

Jamhuri ilipaswa ijiteteeyenyewe kama taasisi!Rostam asilaumiwe kabisa!

Sisi kama taifa la jamhuri tumejipangaje kulinda rasilimali zetu!!?kwanini tuwalaumu watu wakati sheria na mifumo imeruhusu haya kutokea!!?

Turudi kwenye misingi!!
 
Mifumo hii ya kifisadi ilikwisha jichimbia chini sana katika nchi hii kwa hiyo tunahitaji mabadiliko! Sasa mafisadi wakisikia mabadiliko wanaanza kuwatishia wananchi kuwa ni kuleta vita. Sasa kwa woga wa vita au kwa kushabikia mafisadi wananchi wanawaunga mkono mafisadi na nchi inaendelea kudhulumika!

Kimsingi "KATAA WAHUNI"! Wananchi wanapaswa kuungana kuleta mabadiliko!
 
Inahitaji sufuria Zito sana. Mwaka 2021 niliwahi kupata nusu debe la huo mkaa, masufuria yalitobolewa sana. Moto ule una nguvu sana sana. Bonge Moja ukiliwasha unaweza kupika maharage hata mara Tano bado moto mkali.
Niliwahi kusikia kuuna teknolojia ya kuuchanganya na udongo mfinyanzi kupunguza ukali wake. Sina uhakika na hili na linafanyika vipi
 
Inahitaji sufuria Zito sana. Mwaka 2021 niliwahi kupata nusu debe la huo mkaa, masufuria yalitobolewa sana. Moto ule una nguvu sana sana. Bonge Moja ukiliwasha unaweza kupika maharage hata mara Tano bado moto mkali.
😅🤔
 
Kuna mahali niliyakuta makaa ya mawe barabaranj nadhani yalimwaga na hayo malori,nikaenda kujaribu kupikia nikichanganya na mkaa wa kawaida
1.Yanachelewa kuwaka sana ila pia yanatoa sana moshi una harufu,ikabidi niyatoe kwenye moto sijatumia tena
2.Yana moto mkali ila inabidi uvumilie ule moshi mwake kwahio nadhani yanahitaji kufanyiwa mchakato wa kuyafanya yatumike nyumbani
 
Back
Top Bottom