Rejea majibu yangu #11!Kuna mahali niliyakuta makaa ya mawe barabaranj nadhani yalimwaga na hayo malori,nikaenda kujaribu kupikia nikichanganya na mkaa wa kawaida
1.Yanachelewa kuwaka sana ila pia yanatoa sana moshi una harufu,ikabidi niyatoe kwenye moto sijatumia tena
2.Yana moto mkali ila inabidi uvumilie ule moshi mwake kwahio nadhani yanahitaji kufanyiwa mchakato wa kuyafanya yatumike nyumbani
Nimekuelewa ngoja nitafanyia kazi,maana hata pale nilipochukua bado yapo mengiRejea majibu yangu #11!
Umejibu vema mkuu. Wananchi tumieni majiko ya maranda ni bureHayafai, kupikia chakula cha binadamu hata wanaotumia oil chafu kupikia pia haifai kabisa