Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kama katiba ya kwao inaruhusu mwananchi wa nchi nyingine kupiga kura kumchagua rais wao, wewe unahangaika nini? Kwani Tanzania inakataza mtanzania kupiga kura nchi nyingine?Tukiwa bado tunasherehekea kuteuliwa Kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa ambae ataapishwa huko Vatican tarehe 30 Septemba.
Ni vema kutambua Makardinali ndio humchagua Papa, kupitia haki hiyo ya kupiga kura ya kumpata Rais wa Vatican (Baba Mtakatifu) je, Makardinali Wana uraia wa Vatican?