Je, Makonda ni asset au liability kwa CCM?

Makonda sio asset lakini ni tactician wa aina yake,survival skills zake zipo juu sana,usishangae kusikia kavaa viatu vya Majaliwa.
 
Makonda sio asset lakini ni tactician wa aina yake,survival skills zake zipo juu sana,usishangae kusikia kavaa viatu vya Majaliwa.
Kuvaa viatu vya kiswaswadu angoje hadi November 2025 na ahakikishe anakuwa mbunge wa kuchaguliwa.
 
Kihasibu Makonda ni unserviceable Property fully depreciated iliyokuwa grounded. Sasa hii property imekuwa reconditioned inalazimishwa kutumika na kuleta noise and air pollution
Kwa lugha ya mtaani ni nyumba ya udongo iliyopigwa lipu na rangi.
 
Hapa issue wali sio Makonda hayo anayofanya nakutuhumiwa ndio msingi wa Sisiemu hivyo wamefanya kulingana na mahitaji hao nakuona ndio mtu sahihi anaeweza kutrkeleza yale walijozoea kufanya gizani na mwangani.
 
haya maswali kayaulize mtaani Toka Huku Dunia ya kidole gumba, utapata majibu sahihi KUHUSU makonda
 
Mkuu πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ’πŸŽπŸ—Ό
 
Watajuana wenyewe
 
Katibu wa Idara ya Siasa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo; lakini anachokifanya majukwaani hakiendani..! Anawaaminisha wananchi kuwa yeye akipewa 'lungu' la kiserikali, eti atakuwa kama JPM. Anavuruga mifumo ya kiutendaji ya kiserikali na kisheria mpaka AG amebaini hilo. Sidhani ni sahihi Mwenezi kumhoji RPC hadharani..!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anadhani.labda bado ni mkuu wa mkoa na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa!
 
Kihasibu Makonda ni unserviceable Property fully depreciated iliyokuwa grounded. Sasa hii property imekuwa reconditioned inalazimishwa kutumika na kuleta noise and air pollution
Hahahahahahahahahahahahahaahaha.....
Mimi nilifikili wanakuonea kukuita muhasibu. Kumbe ni muhasibu kweli kabisa!!
 
Hadhi ya wateule wa Rais anaipoka hadi wanafikilia je wanawajibishwa kiutendaji kwa Rais au mwenezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…