Je, Makonda suala la umeme, sukari na nauli yamemshinda?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Makonda aache sanaa na janja janja.

Na kwa kua ameamua kujipa hata kazi ambazo sio zake na
kama kweli ana ubavu, tunamuagiza alivalie njuga suala la umeme, sukari na suala zima la nauli.

Haya ndiyo mambo makuu ambayo ni kilio kwa Watanzania wengi wa hali ya chini na kati.
 
Kwamba atafanya nini? Yeye a deal na mambo ya wapigakura kuonewa na mamlaka ndio malalamiko Makuu ya watu
 
Back
Top Bottom