Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Sawa,lkn Muda ni Mwalimu Mzuri.Comrade ameshatoa maagizo mazito
Kwamba atafanya nini? Yeye a deal na mambo ya wapigakura kuonewa na mamlaka ndio malalamiko Makuu ya watuMakonda aache sanaa na janja janja.
Na kwa kua ameamua kujipa hata kazi ambazo sio zake na
kama kweli ana ubavu, tunamuagiza alivalie njuga suala la umeme, sukari na suala zima la nauli.
Haya ndiyo mambo makuu ambayo ni kilio kwa Watanzania wengi wa hali ya chini na kati.
Makonda aache sanaa na janja janja.
Na kwa kua ameamua kujipa hata kazi ambazo sio zake na
kama kweli ana ubavu, tunamuagiza alivalie njuga suala la umeme, sukari na suala zima la nauli.
Haya ndiyo mambo makuu ambayo ni kilio kwa Watanzania wengi wa hali ya chini na kati.
Umeme au njia / nyaya za umeme?
Bila nyaya hakuna umemeUmeme au njia / nyaya za umeme?
Hahah Kamuagiza nani?😅 Hizo sanaa tu anafanya. Mamlaka yake na mipaka yake inafahamika waziComrade ameshatoa maagizo mazito
Mkuu what an irony! 🤣 🤣 🤣Kwamba atafanya nini? Yeye a deal na mambo ya wapigakura kuonewa na mamlaka ndio malalamiko Makuu ya watu