Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafukuze yule Mhindi, yule anahitaji muda kufundisha club kubwa.Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo na Everton Man u wanaweza kushuka daraja pia.
Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
mvuto wa epl upo pale paleToka man imeshuka hata mvuto wa epl nao umeshuka pakubwa.
SawaPole sana shabiki wa man u
mvuto wa epl upo pale pale
Kushuka hawezi na haitatokeaHali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia.
Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
Huoni raha timu kubwa ikikaa vibaya inashenyentwa na notingam forestSawa
Msimu huu watapona lakini msimu ujao ndiyo itakuwa bye bye kwenye Premier League.Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia.
Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
Haitashuka ila itakuwa nafasi mbaya ambayo haijawahi kuwa kwa zaidi ya miaka 30Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia.
Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
Hoja kubwa sana hiiToka man imeshuka hata mvuto wa epl nao umeshuka pakubwa.
Man United ndio dunia ya mchezo wa mpira wa miguu , hata wanaoonyesha mipira kwenye mabanda ya michezo wanatamani man United irudi kwenye ubora wake , wewe jiulize kwa nini imefulia lakini bado mashabik wa arsenal liva, City, Tottenham, Chelsea wanavita nayo na sio wao kwa wao ambao wanashindana kwenye makombe🤔Hoja kubwa sana hii