Mimi ni shabiki Lia Lia wa united, wengi tatizo wasilolijua ni kwamba United ipo mahali ilipo kwasababu ya collective mistakes zilizokuwa zinafanyika Kila msimu na management baada ya fergi kuondoka. Ni kama maradhi huanza na upele usipochukulia serious basi linakuja jipu halafu baadae donda kubwa then donda linasambaa halafu wadudu huanza kutoka. United ilikuwa si timu ya kuwa na average players na wale wastaafu, imagine 70's pound million Kwa casemiro? It was insane. 80's million pound Kwa anthony,? Then Yuko wapi now?. Maguire naye pesa zote zile then?, Yuko tu anazeeka pale pale akiwa na makosa kibao na signings kibao zisizofaa tumefanya, mgt ilikosa vision kabisa wakawa wanadili na stocks zao huko USA.
Sasa hivi Kila kitu kinaonekana wazi kabisa, Kila mahali kunavuja. Hivyo basi Sasa hivi ni wakati wa kusurvive tu basiiii, wakati huu si kwaajili ya kushindana kabisa, ni aidha tusishuke daraja tu basi. Lazima jitihada za makusudi zifanyike msimu ujao la sivyo utakuwa ni upuuzi kufukuzana Kila siku Kwa makosa ya mgt.