Je Man U kushuka daraja mwaka huu?

Je Man U kushuka daraja mwaka huu?

Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia.

Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
Itakuwa si mara ya kwanza, hawa jamaa wanatakiwa washuke ili wajipange upya
 
Man United ndio dunia ya mchezo wa mpira wa miguu , hata wanaoonyesha mipira kwenye mabanda ya michezo wanatamani man United irudi kwenye ubora wake , wewe jiulize kwa nini imefulia lakini bado mashabik wa arsenal liva, City, Tottenham, Chelsea wanavita nayo na sio wao kwa wao ambao wanashindana kwenye makombe🤔
Kuna ile kauli kwamba wote tulizaliwa tukiwa mashabiki wa Manchester kwanza😃😃
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia.

Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
Kipindi kile Ferg alikua na strong team pia alikua ni mzee mwenye kutengeneza nidhamu KAZINI MPAKA LEO hicho kimeshindikana kabisa for years..

Pia Ferg alikua na strong scouting aliweza kuibua nyota wengi na kuwapandisha thamani ambapo pale man u kitu ambacho kwa Sasa kimeshindikana kabisa kabisa.

Manchester united B ilikua Kama kiwanda tanuru lililo weza kuwivisha wachezaji mahiri kwa uchache phill neville na grey Neville, Wes brow, David Beckham, schoolers, Ryan gigis n.k wapo wengi na wengine waliuzwa vilabu vingine kitu ambacho Sasa hakifanyiki..

Man u ya mwisho ilikua 2009 kurudi nyuma saivi ni Maumivu timu imepoteana sanaa
 
Kipindi kile Ferg alikua na strong team pia alikua ni mzee mwenye kutengeneza nidhamu KAZINI MPAKA LEO hicho kimeshindikana kabisa for years..

Pia Ferg alikua na strong scouting aliweza kuibua nyota wengi na kuwapandisha thamani ambapo pale man u kitu ambacho kwa Sasa kimeshindikana kabisa kabisa.

Manchester united B ilikua Kama kiwanda tanuru lililo weza kuwivisha wachezaji mahiri kwa uchache phill neville na grey Neville, Wes brow, David Beckham, schoolers n.k wapo wengi na wengine waliuzwa vilabu vingine kitu ambacho Sasa hakifanyiki..

Man u ya mwisho ilikua 2009 kurudi nyuma saivi ni Maumivu timu imepoteana sanaa
Umetumwa wewe 😜😜
 
Man United ndio dunia ya mchezo wa mpira wa miguu , hata wanaoonyesha mipira kwenye mabanda ya michezo wanatamani man United irudi kwenye ubora wake , wewe jiulize kwa nini imefulia lakini bado mashabik wa arsenal liva, City, Tottenham, Chelsea wanavita nayo na sio wao kwa wao ambao wanashindana kwenye makombe🤔
Watoto wadogo tu ndio hawawezi kuelewa hii kitu. Hata Dstv wanatamani Man u ianze kufanya vizuri ili subscriber waongezeke
 
Back
Top Bottom