Je Man U kushuka daraja mwaka huu?

Hizo ni ndoto za Abu nuwas, inafanya vibaya ndiyo ila kushuka daraja haiwezekani
 
Haitashuka lakini haitaingia mashindano ya ulaya.
The cityzens tunataka hawa maboya wabaki wakishuka ligi hainogi.
Londoners wachovu sana hawavutii, angalau merseyside.
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia.

Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
Msimu huu watapona lakini msimu ujao ndiyo itakuwa bye bye kwenye Premier League.
Washuke tu kwa sasa kiwango walichonacho si cha PL bali madaraja ya chini, kilichobaki pale ni jina tu.
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia.

Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
Haitashuka ila itakuwa nafasi mbaya ambayo haijawahi kuwa kwa zaidi ya miaka 30
 
Hoja kubwa sana hii
Man United ndio dunia ya mchezo wa mpira wa miguu , hata wanaoonyesha mipira kwenye mabanda ya michezo wanatamani man United irudi kwenye ubora wake , wewe jiulize kwa nini imefulia lakini bado mashabik wa arsenal liva, City, Tottenham, Chelsea wanavita nayo na sio wao kwa wao ambao wanashindana kwenye makombešŸ¤”
 
washuke tu wanamdomo sana, wakishinda kamech kamoja utawasikia gari imewaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…