Tatizo mnaongea sana, maana mlianza kujikabidhi ubingwa game mbili za mwanzon mwa ligiYaani nyie mmeiona Man U tu??
Je Man U team pekee iliyopo UK au Duniani?? kwanini zisiwe team zingine mf; Liverpool au Arsenal ?
Epl nipo man city, la liga nipo barca, haaaaahaaaaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati unajiuliza kuhusu man u Jiulize pia Na team yako unayoshabikia na team ya jirani yako vipi wao wataambulia kikombe kipi?????
Haaaaaaahaaaaaahaaaah, tunabir maana mlianza kujikabidhi ubingwa mapema sana, mlianza kujiita wazee wa 4GMapovu ya nini? Ongelea timu yako itafanya nini badala ya kuiombea mabaya Man Utd.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhana maana mashabiki wa man city mmekuwa wengi sijui zamani mlikuwa team gani nawaza tuu???Epl nipo man city, la liga nipo barca, haaaaahaaaaah
Tokea kitambo mkuu, sema unakuwa huna nguvu ya kuongea timu inapokuwa haichukui makombe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhana maana mashabiki wa man city mmekuwa wengi sijui zamani mlikuwa team gani nawaza tuu???
kama toka kitambo hongera maana kuna mashabiki uchwara wa man city wanafata team zenye mafanikio tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..Tokea kitambo mkuu, sema unakuwa huna nguvu ya kuongea timu inapokuwa haichukui makombe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ...wewe utakuwa ulikuwa shabiki wa Arsenal....Tatizo mnaongea sana, maana mlianza kujikabidhi ubingwa game mbili za mwanzon mwa ligi
Kabsa mkuu, hawajui ushabiki ni kuvumilia yotekama toka kitambo hongera maana kuna mashabiki uchwara wa man city wanafata team zenye mafanikio tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..
Mkuu haitakaa itokeee mm kuwa mshabiki wa arsenal, kwanza Wenger tu kuwa kocha wa timu yako ni tusi tosha[emoji2] [emoji2] [emoji2] ...wewe utakuwa ulikuwa shabiki wa Arsenal....
Haaaaaahaaaahaaaaah, unataka kuniambia mods ni mama ester unitedAngalia wasije wakakupiga ban maana kuisema man u ni kosa
Na tutaendelra kuwa man cityTulikuwa man city
Wakati tuna 4G obvious Man City walikuja na kitu cha zaidi yetu.Haaaaaaahaaaaaahaaaah, tunabir maana mlianza kujikabidhi ubingwa mapema sana, mlianza kujiita wazee wa 4G