Ni dhahir shahiri kuwa man city hakamatiki hasa kwa kuwapakata vigogo wa muda mrefu wa epl.Hiyo ikiwa kwel naomba tutupie jicho upande wa man u, chin ya kocha ambaye huwa hafulukuti, kila anpokutana na pep iwe laliga au epl. Binafsi ambacho naona msimu huu ni mashabiki wa Man U kuambulia mtindo tofauti tofauti ya nywele ya kina Pogba na wala si kingine