Je Man United atamaliza msimu bila kikombe hata cha kahawa?

Je Man United atamaliza msimu bila kikombe hata cha kahawa?

mzabhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
261
Reaction score
279
Ni dhahir shahiri kuwa man city hakamatiki hasa kwa kuwapakata vigogo wa muda mrefu wa epl.Hiyo ikiwa kwel naomba tutupie jicho upande wa man u, chin ya kocha ambaye huwa hafulukuti, kila anpokutana na pep iwe laliga au epl. Binafsi ambacho naona msimu huu ni mashabiki wa Man U kuambulia mtindo tofauti tofauti ya nywele ya kina Pogba na wala si kingine
 
Mapovu ya nini? Ongelea timu yako itafanya nini badala ya kuiombea mabaya Man Utd.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati unajiuliza kuhusu man u Jiulize pia Na team yako unayoshabikia na team ya jirani yako vipi wao wataambulia kikombe kipi?????
 
Yaani nyie mmeiona Man U tu??
Je Man U team pekee iliyopo UK au Duniani?? kwanini zisiwe team zingine mf; Liverpool au Arsenal ?
 
Epl kashakosa
Carabao kashakosa
FA hapati
Ucl anashiriki

Kwa kifupi mwaka huu mgumu kwao.

Morinyo atatimuliwa na nafasi yake atachukua Tony Pulis
 
Yaani nyie mmeiona Man U tu??
Je Man U team pekee iliyopo UK au Duniani?? kwanini zisiwe team zingine mf; Liverpool au Arsenal ?
Tatizo mnaongea sana, maana mlianza kujikabidhi ubingwa game mbili za mwanzon mwa ligi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati unajiuliza kuhusu man u Jiulize pia Na team yako unayoshabikia na team ya jirani yako vipi wao wataambulia kikombe kipi?????
Epl nipo man city, la liga nipo barca, haaaaahaaaaah
 
Mapovu ya nini? Ongelea timu yako itafanya nini badala ya kuiombea mabaya Man Utd.
Haaaaaaahaaaaaahaaaah, tunabir maana mlianza kujikabidhi ubingwa mapema sana, mlianza kujiita wazee wa 4G
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhana maana mashabiki wa man city mmekuwa wengi sijui zamani mlikuwa team gani nawaza tuu???
Tokea kitambo mkuu, sema unakuwa huna nguvu ya kuongea timu inapokuwa haichukui makombe
 
Tokea kitambo mkuu, sema unakuwa huna nguvu ya kuongea timu inapokuwa haichukui makombe
kama toka kitambo hongera maana kuna mashabiki uchwara wa man city wanafata team zenye mafanikio tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..
 
kama toka kitambo hongera maana kuna mashabiki uchwara wa man city wanafata team zenye mafanikio tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..
Kabsa mkuu, hawajui ushabiki ni kuvumilia yote
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ...wewe utakuwa ulikuwa shabiki wa Arsenal....
Mkuu haitakaa itokeee mm kuwa mshabiki wa arsenal, kwanza Wenger tu kuwa kocha wa timu yako ni tusi tosha
 
Haaaaaaahaaaaaahaaaah, tunabir maana mlianza kujikabidhi ubingwa mapema sana, mlianza kujiita wazee wa 4G
Wakati tuna 4G obvious Man City walikuja na kitu cha zaidi yetu.
Sasa inachekesha kuona vipofu wanamcheka chongo.
 
Back
Top Bottom