Ww na ww unajua ulichoongea hapoUnafuatilia mpira au unasimuliwa.. Chelsea alipochukua ubingwa UEFA kwani alikuwa nafasi ya ngapi ktk ligi?? Hata alipochukua EUROPA alikuwa top 4.. bt kisheria timu yoyote ikiwa bigwa wa EUROPA hushiriki UEFA CHAMPS LG.. then mshindi wa nne upelekwa EUROPA ikiwa timu iliyoshinda haipo top 4...
Nmekupata hapo sikumkumbka villa, nmeelewa pia, bt mpira naujua nikurekebishe kdgo lkn sikuwa na uelewa juu ya hyo sheria ya uefaKumbe wewe hujui mpira ee? REAL MADRID, BARCELONA, ATLETICO, SEVILLA, VILLAREAL(play-off)
Poa ndio hivyoNmekupata hapo sikumkumbka villa, nmeelewa pia, bt mpira naujua nikurekebishe kdgo lkn sikuwa na uelewa juu ya hyo sheria ya uefa
Atletico madridWanasema Man U wangepata hiyo nafasi endapo tu bingwa wa uefa naye angetoka England, hapo ndipo mshindi wa 4 wa epl angekosa nafasi.Wanatolea mfano wa Sevilla ya Spain ilivyofanikiwa kikanuni.Nakumbuka wakati fulani totenham ilikuwa ya nne imapoteza nafasi, wakati huo bingwa wa uefa alikuwa Chelsea najaribu kutafuta ndoo ya europa ilibebwa na nani?!
Man utd akishinda Europa anaingia moja kwa moja kwenye makundi ya Uefa Champions LeagueWewe jamaa unachanganya mambo! Ingekuwa hivyo Mourinho asingezipuuzia mechi za EPL.
Tunamkamua Ajax na tunatinga UCL.
Nyie Asenane mtacheza ALHAMISI usiku.
Wewe Ndundami?Mchawi au?
Uko sahihi mzee na wamepitia kanuni upya manake kuna kipindi chelsea likua bingwa wa uefa akatolewa akaenda europa akaibeba halafu alieshika nafas ya nne england akashundwa kwenda uefa so wakafanya mabadilikoPia timu ya nne ktk ligi nayo itaingia ktk hatua za awali za UCL na ikipita kama Manu nao watashinda europa cup basi england itakuwa na timu tano i think, rule unayosema nafikiri inaaply kwa defending champion kama hatokuwapo ktk top 4 basi yule wa nne atampisha defending champ aende tetea kikombe chake!
Mkuu labda unisaidie maana ni kma nliskia maximu number ya ligi kupeleka timu ligi ya mabingwa ni 5!!! Ama hyo sheria ipo applicable kwa ligi ya hispania pekeee maana ilipeleka 5 msimu huuNi kweli manU ikishinda uropa cup inacheza moja kwa moja UEFA Champion league, halafu mshindi wa nne EPL anaenda kucheza UROPA, halafu mshindi wa tano wa EPL anaambulia patupu hachezi UROPA kama ilivyozoeleka.
Ndio maana GARDIOLA, KLOPP na WENGER matumbo jato wanapigana vikumbo kuwahi nafasi ya 3 ambayo ndiyo salama.
Ila jamani kwa kikosi kile Man U akiingia nacho Uefa ni majanga , striker Rashford !Msijifanye vichaa humu ndani... Man Utd akishinda anaenda UCL, na timu zote za big four zinaenda pia, kwaiyo zitaenda timu tano
Itakua aibu kubwaIla jamani kwa kikosi kile Man U akiingia nacho Uefa ni majanga , striker Rashford !
[emoji1] [emoji1] [emoji1] we jamaa tumia busara ya kawaida kusema jambo lako kwa chukiU
Ukitafsiri vizuri man U haiendi uefa
Hahaaa....haaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] we jamaa tumia busara ya kawaida kusema jambo lako kwa chuki
Mkuu omba tufuzu UCL, itakua ni balaa... Imetengwa pesa ya kutengeneza timu ya kubeba EUFA na sio kwenda kushiriki... Glazers family hawataki ujingaIla jamani kwa kikosi kile Man U akiingia nacho Uefa ni majanga , striker Rashford !
Soccer la uingereza limepooza baada ya man u kupoaPia timu ya nne ktk ligi nayo itaingia ktk hatua za awali za UCL na ikipita kama Manu nao watashinda europa cup basi england itakuwa na timu tano i think, rule unayosema nafikiri inaaply kwa defending champion kama hatokuwapo ktk top 4 basi yule wa nne atampisha defending champ aende tetea kikombe chake!
Source plzKuna taarifa kuwa hata kama manchester watashinda europa cup hawatashiriki ligi ya mabingwa kwakuwa kanuni haziruhusu.Je kuna ukweli wowote?!
Anatuwangia tu huyo.Mchawi au?