Je, Man united kucheza UEFA Champions League endapo itatwaa kombe la Europa?

Je, Man united kucheza UEFA Champions League endapo itatwaa kombe la Europa?

Unafuatilia mpira au unasimuliwa.. Chelsea alipochukua ubingwa UEFA kwani alikuwa nafasi ya ngapi ktk ligi?? Hata alipochukua EUROPA alikuwa top 4.. bt kisheria timu yoyote ikiwa bigwa wa EUROPA hushiriki UEFA CHAMPS LG.. then mshindi wa nne upelekwa EUROPA ikiwa timu iliyoshinda haipo top 4...
Ww na ww unajua ulichoongea hapo
Au unaota tu ndoto zako za kitanda
Kashabikie gof achana na football
 
Wanasema Man U wangepata hiyo nafasi endapo tu bingwa wa uefa naye angetoka England, hapo ndipo mshindi wa 4 wa epl angekosa nafasi.Wanatolea mfano wa Sevilla ya Spain ilivyofanikiwa kikanuni.Nakumbuka wakati fulani totenham ilikuwa ya nne imapoteza nafasi, wakati huo bingwa wa uefa alikuwa Chelsea najaribu kutafuta ndoo ya europa ilibebwa na nani?!
Atletico madrid
 
IMG_20170515_195911_767.JPG
 
Pia timu ya nne ktk ligi nayo itaingia ktk hatua za awali za UCL na ikipita kama Manu nao watashinda europa cup basi england itakuwa na timu tano i think, rule unayosema nafikiri inaaply kwa defending champion kama hatokuwapo ktk top 4 basi yule wa nne atampisha defending champ aende tetea kikombe chake!
Uko sahihi mzee na wamepitia kanuni upya manake kuna kipindi chelsea likua bingwa wa uefa akatolewa akaenda europa akaibeba halafu alieshika nafas ya nne england akashundwa kwenda uefa so wakafanya mabadiliko
 
Ni kweli manU ikishinda uropa cup inacheza moja kwa moja UEFA Champion league, halafu mshindi wa nne EPL anaenda kucheza UROPA, halafu mshindi wa tano wa EPL anaambulia patupu hachezi UROPA kama ilivyozoeleka.

Ndio maana GARDIOLA, KLOPP na WENGER matumbo jato wanapigana vikumbo kuwahi nafasi ya 3 ambayo ndiyo salama.
Mkuu labda unisaidie maana ni kma nliskia maximu number ya ligi kupeleka timu ligi ya mabingwa ni 5!!! Ama hyo sheria ipo applicable kwa ligi ya hispania pekeee maana ilipeleka 5 msimu huu
 
Ukisoma comments za watu wengi,unagundua tofauti zetu kwenye kuelewa mambo km sio lugha iliyoletwa na meli
 
Ila jamani kwa kikosi kile Man U akiingia nacho Uefa ni majanga , striker Rashford !
Mkuu omba tufuzu UCL, itakua ni balaa... Imetengwa pesa ya kutengeneza timu ya kubeba EUFA na sio kwenda kushiriki... Glazers family hawataki ujinga
 
Pia timu ya nne ktk ligi nayo itaingia ktk hatua za awali za UCL na ikipita kama Manu nao watashinda europa cup basi england itakuwa na timu tano i think, rule unayosema nafikiri inaaply kwa defending champion kama hatokuwapo ktk top 4 basi yule wa nne atampisha defending champ aende tetea kikombe chake!
Soccer la uingereza limepooza baada ya man u kupoa
 
Back
Top Bottom