Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

Muhammad (s.a.w) alikuja kama mtume wa ulimwengu mzima mantiki hiyo injili, zaburi, torat na suhufi zisingeweza kufanya kazi mbele ya qur-an.

Uwepo wa injili na vitabu vingne ndani ya qur-an ni kwa lengo la historia kwa yale yaliyokuwepo kabla ya umma wa Mohammad (s.a.w).Mungu hakushindwa kuvilinda hivyo vitabu visiharibiwe sabab ni kuwa HIVYO VITABU VILITUMWA KWA MUDA MAALUMU NA BAADA YA HUO MUDA VINABAKI HISTORIA TU.

NOTE:HIVYO VITABU KWENYE QUR-AN HAVINA KAZI YOYOTE ZAIDI YA HISTORIA
Sawa
 
Ndugu yangu wewe unaonekana ni muelewa hebu fanya uchunguzi kwa nini Mtume huyo mmoja ameandikwa tofauti katika Quran na kwenye Biblia. Fanya hivi kabla ya kufanya utafiti muombe Mwenyezi Mungu akuonyeshe ukweli ni upi ikiwa ni katika Quran au katika Biblia.

Quran ilichofanya ni kusahihisha makosa yaliyofanywa na waandishi waliobadilisha na kuweka mambo mapya katika kitabu cha Injili, mfano kwa kusema Yesu/Issa ni Mungu au ni mwana wa Mungu. Quran imesema wazi wazi kuwa Mwenyezi Mungu hana mwana wala hakuna Mungu mwingine isipokuwa Mungu mmoja tu.

Kwa hivyo Quran imeshahihisha palipokosewa au palipoharibiwa katika vitabu vya zamani na kueleza njia sahihi ni ipi.
Sawa japo mchango unamapungufu mengi na mengine sijafafanuliwa.

Mfano quran itafanyaje masahihisho wakati hadi sasa hakuna ushahidi wa mtume au muislam yoyote aliyewahi kuiona hiyo injili Og. Pili Allah gani mwenye uwezo wa kulinda maandiko ya waarabu ashindwe ya wayahudi ya injili ya Issa aliohangaika nao miaka yote.

Ndio maana nashauri tuishie hapo.
 
Asante mkuu, nilichotaka hasa nikujua uthabiti wa Imani yako juu ya huyu kiongozi wetu,kwakua huna shaka kuwa Yesu wa biblia ndie huyohuyo ISSA wa qur-an basi nami naungana nawe katika kutafuta majibu ya mawsali yako kwakua naamini hujui na una nia yakweli yakujifunza na bila shaka utakuwa muelewa kwa namna utakavyojibiwa na wale wenye ufahamu zaidi juu ya hoja zako.
Kwa uzi huu, naishia hapa. Maana nilichokuwa nakitafuta na kutaka kukithibitisha nimeshakipata. Kila uzi muanzishaji huwa anakusudio.

Barikiwa sana.
 
1: Sijasema, simeuliza mkuu ili kukupa uwanja wa kufafanusha.
2: Imemtaja Yesu ba mama Yake au Isa ambaye hayumo kenye taurat ila yumo kwenye vitabu vinne vya INJILI na nyaraka za mitume wake.
Hii inajumuisha makusanyo yote.

Karibu sheikh
Unaweza kuleta historia ya yesu kweny Qur an na bible ikawa zinafanana...Kwanza kweny Qur an kuna issah .

Kingine Qur an mfunuo wake haukutegemea vitabu vingine vya nyuma ,sema mtume yeye aliambiwa yaliyokea nyuma kupitia jibril ..

Yeye hata kweny ishu ya kufunga aliambia "tumewafaradhishia kufunga kama waliopita kabla yenu nyie"

Ina maana yaliopita wote walikuwa waislamu na Qur an ni moja haijawahi kubadilishwa ila inasadifu yaliyopita huko nyuma .

Mtume amejua mambo mengi kupitia Qur an sio kusoma vitabu vingine ,mambo ambayo yaliyotokea huko nyuma yeye alielezwa upya kupitia Qur an ...Mtume asingeweza kutoa mambo moja kwa moja kweny vitabu vilivyopo .
 
Sawa japo mchango unamapungufu mengi na mengine sijafafanuliwa.

Mfano quran itafanyaje masahihisho wakati hadi sasa hakuna ushahidi wa mtume au muislam yoyote aliyewahi kuiona hiyo injili Og. Pili Allah gani mwenye uwezo wa kulinda maandiko ya waarabu ashindwe ya wayahudi ya injili ya Issa aliohangaika nao miaka yote.

Ndio maana nashauri tuishie hapo.
Usikate tamaa unapotaka kujifunza kitu, iko hivi Mwenyezi Mungu ameilinda Quran isiharibiwe na watu kwa sababu Muhammad ni Mtume wa mwisho, yaani hakuna tena Mtume mwingine atakayekuja baada ya Muhammad mpaka mwisho wa dunia. Kwa hivyo Mwenyezi Mungu ameahidi kuilinda Quran isiharibiwe na wanaadamu ili vizazi vyote vitakavyokuja vikute ujumbe ule upo vile vile bila kuharibiwa.

Na kuhusu vitabu vya Injili na Taurati Mwenyezi Mungu aliwaacha wanaadamu wafanye watakavyo kwani kwa wakati ule Mitume bado walikuwa wanaletwa kwa hivyo wale wanaokuja walikuwa wakisahihisha makosa yaliyofanywa na wafuasi wa Mitume waliopita.

Usifikiri Mwenyezi Mungu hataacha kuwaadhibu wale waliobadilisha maandiko Yake matakatifu, atawaadhibu tu siku ya Kiama.

Hebu cheki You Tube Kuna mama mmoja mmarekani mzungu anaitwa Nur Nasir (alitumia jina hili baada ya kusilimu) unaweza ukaangalia story yake ya conversion from Christian to Islam kwenye You Tube. Huyu mama amefanya utafiti mwenyewe kwa kutumia kitabu cha Biblia na mwisho wa utafiti wake akaona kuwa Yesu sio Mungu wala si mwana wa Mungu bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Baada ya kuthibitidha hili kupitia vitabu vyake mwenyewe yaani Gospel na Torah ndio akaamua kusoma Quran na mwisho akasilimu. Mwanzoni alikuwa haiamini kabisa Quran kwa hivyo hakuisoma kabisa mpaka alipofanya utafiti wake mwenyewe kupitia Bible.

Na kuna kijana mwingine from China ambaye alisilimu huko Singapore huyu yeye alimuomba Mwenyezi Mungu amuonyeshe kati ya Quran na Bible ipi ni kweli? Na Mwenyezi Mungu akamuonyesha. Akasilimu (ukienda You Tube angalia Chinese man convert to Islam in Singapore by the name Sherald.

Si kwamba vitabu vya Taurati na Injili ni havifai moja kwa moja hapana, ni maneno ya Mwenyezi Mungu na ni vitabu vyake isipokuwa wanaadamu wameharibu baadhi ya maandiko katika hivyo vitabu.

Kama una nia ya kuutafuta ukweli basi muombe Mwenyezi Mungu akuongoze katika njia sahihi, muulize Mwenyezi Mungu ukweli ni upi na Yeye atakuonyesha. Itabidi ujitose katika kusoma kwa bidii na kumuomba Mungu na Yeye atakuonyesha njia sahihi.
 
Kati ya Biblia na Quran ipi iliyoanza?
Tuseme Allah naye alicopy maandiko ya kwenye Torati, Zaburi na Injili?
ALAH alishusha vitabu 4.

TORATI-- --MUSA
ZABURI --DAUDI.
INJILI--ISSA(YESU)
FURQAN --MUHAMAMAD(SAW).

Tofauti ya ukiristo na uislam Ni vitu 2 tu.

--YESU sio MINGU.
--YESU hakusulubiwa msalabani.

--ALAH(MUNGU) --Hana mtoto,,Hana mke,wala hakuzaa wala hakuzaliwa.

Ukiangalia mengine yote yanafanana.

Hata YESU pia alisema kwenye INJILI KWAMBA,,,,
SIKUJA KUTENGUA TORATI BALI KUITIMILIZA.

means MUNGU huyo huyo wa MUSA ndy wa YESU,
MUNGU wa MUSA ndy MUNGU wa MUHAMMAD (SAW).
amri Kumi ya TORATI ya MUSA ndy amri Kumi za MUNGU WA MUHAMMAD..

DINI Ni moja Ila imeingiliwa na binadamu wakaichafua ndy utofauti wa uislam na ukristo..

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa huna akili kabisa itoshe tu kusema wewe ni taahira hii text inasadifu upumbavu wako nakupa pole sana

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kusema Yesu hakusurubiwa wewe ni mjinga kuliko ujinga wenyewe

Ukweli lazima usemwe.
Hivi wewe unaamini kweli YESU Ni MUNGU?

Kwahyo YESU alipokuwa anapigwa makofi msalabani unaamini MUNGU ndy alikuwa anapigwa makofi na binadamu?

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
ALAH alishusha vitabu 4.

TORATI-- --MUSA
ZABURI --DAUDI.
INJILI--ISSA(YESU)
FURQAN --MUHAMAMAD(SAW).

Tofauti ya ukiristo na uislam Ni vitu 2 tu.

--YESU sio MINGU.
--YESU hakusulubiwa msalabani.

--ALAH(MUNGU) --Hana mtoto,,Hana mke,wala hakuzaa wala hakuzaliwa.

Ukiangalia mengine yote yanafanana.

Hata YESU pia alisema kwenye INJILI KWAMBA,,,,
SIKUJA KUTENGUA TORATI BALI KUITIMILIZA.

means MUNGU huyo huyo wa MUSA ndy wa YESU,
MUNGU wa MUSA ndy MUNGU wa MUHAMMAD (SAW).
amri Kumi ya TORATI ya MUSA ndy amri Kumi za MUNGU WA MUHAMMAD..

DINI Ni moja Ila imeingiliwa na binadamu wakaichafua ndy utofauti wa uislam na ukristo..

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Wewe unanuka mavi mjinga wewe huwezi kukataa ukuu wa Yesu mbwa wewe

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kusema Yesu hakusurubiwa wewe ni mjinga kuliko ujinga wenyewe

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwahyo Yule MUNGU wa MUSA aliyeachanisha Bahari na kupita Katikati ya maji ndy Yule aliyepigwa makofi na wayahudi msalabani?

Yule MUNGU aliyeiangamiza sodoma na gomora ikawa imefutika ktk ulimwengu wa Dunia ndy Yule aliyepigwa makofi pale .msalabani?

Yule MUNGU aliyekuwa na nguvu ya kufufua wafu na kuleta gharika wakati wa NOUH ndy yule aliyepigwa makofi msalabani?

Kama mnaamini hivyo kweli yatosha kusema WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom