inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
YHWH ni Mungu wa wayahudi,Ibrahim hakuwa myahudiAnaitwa YHWH.
Mungu ni cheo chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YHWH ni Mungu wa wayahudi,Ibrahim hakuwa myahudiAnaitwa YHWH.
Mungu ni cheo chake.
Kutoka 3:4-6,13-14YHWH ni Mungu wa wayahudi,Ibrahim hakuwa myahudi
Unaweza kutaja tarehe ya mwisho wa injili ya Issa kwa wayahudi. Maana wayahudi bado wapo. Kwa nini waarabu wanaambiwa waviamini vitabu ikiwemo hiyo ijili ya Issa ambayo haiwahusu. Allah aliruhusu vipi wayahudi waharibu injili aliyoituma kwao. Kwa nini asingetumiq mbinu alizotumia huitunza quran ili wayahudi wapya wanaozaliwa wanufaike na injili yao.Injili ni ya issa a.s, Muhammad saw yake ni Qur'an,Dawood ni zaburi,huwezi sema injili ya Dawood...issa a.s na injili yake ilikua kwa ajili ya Wana wa Israel Kama Qur'an inavyosema na yesu mwenyewe 'sikutumwa Ila kwa kondoo waliopotea wa Israel'....'je waweza chukua chakula Cha watoto na kumpa mbwa'.... Allah sw hakuamua tu vitabu vyake vya nyuma vitiwe mikono Bali aliacha pia hata manabii wake wakauawa,anafanya atakavyo,hakuna wa kumpangia
Ibrahimu ni babu wa wayahudi.wayahudi wanamuabudu Mungu aliyabudiwa na babu yao.YHWH ni Mungu wa wayahudi,Ibrahim hakuwa myahudi
inamankusweke naona YHWH anajitambulisha kwa Musa kama Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo hapa.Kutoka 3:4-6,13-14
[4]BWANA alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.
And when the LORD saw that he turned aside to see, God called unto him out of the midst of the bush, and said, Moses, Moses. And he said, Here am I.
[5]Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.
And he said, Draw not nigh hither: put off thy shoes from off thy feet, for the place whereon thou standest is holy ground.
[6]Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.
Moreover he said, I am the God of thy father, the God of Abraham, the God of Isaac, and the God of Jacob. And Moses hid his face; for he was afraid to look upon God.
[13]Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?
And Moses said unto God, Behold, when I come unto the children of Israel, and shall say unto them, The God of your fathers hath sent me unto you; and they shall say to me, What is his name? what shall I say unto them?
[14]Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO(YHWH);
akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO(YHWH)
amenituma kwenu.
And God said unto Moses, I AM THAT I AM(YHWH): and he said, Thus shalt thou say unto the children of Israel, I AM(YHWH) hath sent me unto you.
Safi sana, katika "Version" unazosoma za Biblia, ndizo zipo kwa lugha zilizotumika wakati wa Yesu? Au Yesu hahusiki kabisa na Biblia?Nasoma biblia ya kiswahili( suv).
Ninasoma Msaafu wa kiswahili (Tafsiri ya barwan)
Tafsiri au matoleo mengine yote ya biblia na quran kwa lugha zozote zile huwa natumia kama reference ili kutanua ufahamu.
Ila tukirudi kwenye mada. Visa na majina yanayozungumziwa yanapatikana katika version na tafsiri zote za biblia na quran.
Karibu sana mkuu.
moenz FaizaFoxy naomba unifafanulia quruani tukufu kwa kiswahili ukianza na ile surutal jinni afu nimalizie na sura ng'ombe asante mpenzSafi sana, katika "Version" unazosoma za Biblia, ndizo zipo kwa lugha zilizotumika wakati wa Yesu? Au Yesu hahusiki kabisa na Biblia?
Hii hoja hata mimi nimempinga.Jibu swali Jesuit imeanzishwa lini na mtume kafariki lini!?..si mnadai Jesuit ndiyo wameunda uislam..msivyo na akili ya kutafakari hamjiulizi mbona katoliki wenyewe wanahaha kuua uislam,na huo uislam mbona kiitikadi unapinga kabisa ukiristo na kutoa kasoro!?
Ibrahim alikua mwarabu wa Iraq,hakutumia hiyo lugha ya Musa muisrael,so Mungu wa Ibrahim hakumuita YHWHKutoka 3:4-6,13-14
[4]BWANA alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.
And when the LORD saw that he turned aside to see, God called unto him out of the midst of the bush, and said, Moses, Moses. And he said, Here am I.
[5]Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.
And he said, Draw not nigh hither: put off thy shoes from off thy feet, for the place whereon thou standest is holy ground.
[6]Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.
Moreover he said, I am the God of thy father, the God of Abraham, the God of Isaac, and the God of Jacob. And Moses hid his face; for he was afraid to look upon God.
[13]Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?
And Moses said unto God, Behold, when I come unto the children of Israel, and shall say unto them, The God of your fathers hath sent me unto you; and they shall say to me, What is his name? what shall I say unto them?
[14]Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO(YHWH);
akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO(YHWH)
amenituma kwenu.
And God said unto Moses, I AM THAT I AM(YHWH): and he said, Thus shalt thou say unto the children of Israel, I AM(YHWH) hath sent me unto you.
Alipokua Muhammad na ufunuo kwa ajili ya ulimwengu wote,injili kwa wayahudi ilikoma,waislam wanaamini injili,zaburi,taurati ni vitabu vya Allah sw alivyotuma kwa watu kwa wakati wake,suala la kwa nini aliruhusu nilishajibu,ni kama Mungu alivyoruhusu tu wewe uweze kuzini wakati angeweza kukuzuwia,anafanya apendavyoUnaweza kutaja tarehe ya mwisho wa injili ya Issa kwa wayahudi. Maana wayahudi bado wapo. Kwa nini waarabu wanaambiwa waviamini vitabu ikiwemo hiyo ijili ya Issa ambayo haiwahusu. Allah aliruhusu vipi wayahudi waharibu injili aliyoituma kwao. Kwa nini asingetumiq mbinu alizotumia huitunza quran ili wayahudi wapya wanaozaliwa wanufaike na injili yao.
Masimulizi ya kiislam yanayofundisha hivi, hili yanalizungumziaje.
Karibu.
So unataka kusema Mungu wa Musa na Mungu wa Ibrahimu ni tofauti?Ibrahim alikua mwarabu wa Iraq,hakutumia hiyo lugha ya Musa muisrael,so Mungu wa Ibrahim hakumuita YHWH
Yap huwa narudi kwenye maana za asili kigiriki na kiebrania ili nielewe kina. Kama ambavyo nafanya kwenye version za quran. Narudi kwenye kiarabu ikiwezekana kiarabu cha kale naangalia tafsiri pana za neno au hoja ninayotaka kuielewa.Safi sana, katika "Version" unazosoma za Biblia, ndizo zipo kwa lugha zilizotumika wakati wa Yesu? Au Yesu hahusiki kabisa na Biblia?
Wao wanasema hivyo,hata Kama wanaabudu Mungu wa Ibrahim,Ibrahim hakumuita Mungu wake YHWH,kwa kuwa hiyo lugha ni kiisrael ambacho yeye mwarabu hakukijua maana alikufa kabla hiyo lugha haijazaliwaIbrahimu ni babu wa wayahudi.wayahudi wanamuabudu Mungu aliyabudiwa na babu yao.
Kwa hiyo waarabu kabla ya mohammad au ulimwengu wote haukuwa unatumia nini au ulikuwa unasubiri ujio wa Mohammad.Alipokua Muhammad na ufunuo kwa ajili ya ulimwengu wote,injili kwa wayahudi ilikoma,waislam wanaamini injili,zaburi,taurati ni vitabu vya Allah sw alivyotuma kwa watu kwa wakati wake,suala la kwa nini aliruhusu nilishajibu,ni kama Mungu alivyoruhusu tu wewe uweze kuzini wakati angeweza kukuzuwia,anafanya apendavyo
Anajitambulisha kwa lugha ya Musa siyo Ibrahim,Musa angekua mswahili angejitambulisha 'nipo ambaye nipo/Mungu wa milele 'inamankusweke naona YHWH anajitambulisha kwa Musa kama Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo hapa.
Thibitisha ibrahim alikuwa mwarabu. Maana kama ni hivyo wayahudi ni warabu pia.Wao wanasema hivyo,hata Kama wanaabudu Mungu wa Ibrahim,Ibrahim hakumuita Mungu wake YHWH,kwa kuwa hiyo lugha ni kiisrael ambacho yeye mwarabu hakukijua maana alikufa kabla hiyo lugha haijazaliwa
Tatizo umesema ni Mungu tofauti, tuje hapo au niquote uliposema ni Mungu tofauti?Anajitambulisha kwa lugha ya Musa siyo Ibrahim,Musa angekua mswahili angejitambulisha 'nipo ambaye nipo/Mungu wa milele '
umesoma kitabu gani kinachosema ibrahim alikuwa mwarabu wa iraq? kipindi cha ibrahim waarabu (watoto wa ishamaeli walikuwepo au) nisaidie reffrence ya quruan uliposomaIbrahim alikua mwarabu wa Iraq,hakutumia hiyo lugha ya Musa muisrael,so Mungu wa Ibrahim hakumuita YHWH
Unamaanisha Musa alimuita Mungu Allah sw!?..ni yuleyule,je walimwitaje kwa lugha zao!?..je tuiamini biblia katika Hilo!?So unataka kusema Mungu wa Musa na Mungu wa Ibrahimu ni tofauti?
Kama ni ndio, basi Mungu wa Musa anaweza kuwa tofauti na Mungu wa Mtume Muhammad (na amani iwe juu yake) kwasababu ya tofauti ya kilugha na matamshi?
kwa ufupi wayahud walipewa mitume mingi sana.ila waliwakataa na wengine wakawaua.mungu akaamua kuhamisha utume kwa waarabu.ila wote walikuwa wana mtaja mungu mmoja.the rest is history