GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,599
- 11,307
Mange ameibua mambo mengi sana mazito na amerisk maisha yake amepoteza maokoto ya biashara yake ya umbea....na alishasema walitaka wampe kibunda ila kagoma leo mjinga mmoja anakuja kubeza kizembe.Kabisa. Hata mimi nimemwambia awe na heshima na Mange. Mange ndio jemedari wa hii vita
Maandamano yana takiwa siku za kazi na yaanzie katikati ya mji kisha ndiyo nje ya mji kuja katikati ya mji ...hivyo yanatakiwa kuanzia KATIKATI YA MJI KISHA NDIYO YA NJE YA MJI KUELEKEA KATIKATI YANAFUATIA ...hapo hakuna polisi wala FFU anaye weza kuzuia ....haya maandamano kama ya d9 yana fanya kuwa rahisi kuwa kamata na kuwaumiza waandamanaji maana wanakuwa ni cream ya waandamanaji peke yao barabarani...ila yaki fanyika siku za kazi ni tofauti ...hata wale mashekh ubwabwa wanao wadanganya waislamu wasishiriki Maandamano kanuni yao inakuwa mfu kwa aina hii ya maandamano ..Nina wasiwasi na huyu mdada inawezekana kashachukua pesa
Analeta story za maandamano tarehe 25 yaani siku ya Christmas?
Serious? Yaani watu waache kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka wafungiwe Tena ndani?
Hapana me nakataa maandamano yaendelee kesho mpaka kueleweke
Na kila msaliti yeyote atakaye kula pesa umma kwa kuhongwa hazitapike au aende CCM tujue kwamba sio mwenzetu.
Watu wetu washakufa eti tuendelee kusubiri tarehe 25.
Kesho tukutane mnazi mmoja uelekeo Ikulu
Mange Kama umekula pesa za walipa Kodi utazitapika acha utapeli.
Leo sijakuona kabisa hapa Mlimani aiseeTutaandamana vizuri aje kariakoo mtaa kongo achaguw wa kulenga π€£
Mkuu wangu mimi sina tatizo na tarehe au siku tatizo langu unasherehekea nini chini ya utawala dhalimu unaongozwa na rais haramu?Nina wasiwasi na huyu mdada inawezekana kashachukua pesa
Analeta story za maandamano tarehe 25 yaani siku ya Christmas?
Serious? Yaani watu waache kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka wafungiwe Tena ndani?
Hapana me nakataa maandamano yaendelee kesho mpaka kueleweke
Na kila msaliti yeyote atakaye kula pesa umma kwa kuhongwa hazitapike au aende CCM tujue kwamba sio mwenzetu.
Watu wetu washakufa eti tuendelee kusubiri tarehe 25.
Kesho tukutane mnazi mmoja uelekeo Ikulu
Mange Kama umekula pesa za walipa Kodi utazitapika acha utapeli.
Hata hayo hayawezi kufanikiwa zaidi ya watu kuumia tu na kufarikiMaandamano yanatakiwa diku za kazi na yaanxie katikati ya mji diyo nje ya mji...hivyo yanatakiwa kusnzia KATIKATI YA MJI KISHA NDIYO YA NJE YA MJI KUELEKEA KATIKATI YANAFUATIA ...hapo hskuna polisi wala FFU anaye weza kuzuia ....hsya maandamano ksma ya d9 ysnafanya kuwa rahisi kuwakamata waandamanaji maana wanakuwa ni cream ya waandamanaji peke yso barabarani...ila yskifanyika siku za kazi ni tofauti ...hata wale mashekh ubwabwa wanao wadanganya waislamu wasishiriki Maandamano ksnuni yao inskuwa mfu kwa ains hii ya maandamano ..
Basi wewe akili yako ni finyu asilimia 80 ya watanzania awamtaki kahaba na sisiemu yake .. sasa lugha gani hiyo unayo izungumzia wewe na ilitokea nchi gani kuwa raia wote wakawa na lugha moja kuliko tulivyo tz kwa sasa ....maandamano yote yaliyo fanikiwa yaliungwa mkono na watu chini ya asilimia 60 tu na yakafanikiwa .. wewe unadhani samia na Rostam azizi na kikwete na abdul na mafwele watakuja kuunga mkono maandamano ya kuwaondoa wao wenyewe πππili hiyo asilimia 100% itokee ...primitive senseHata hayo hayawezi kufanikiwa zaidi ya watu kuumia tu na kufariki
Maandamano ambayo at least yanaweza kufanikiwa ni yale ambayo yatafanyika wakati ambao raia wote tunaongea lugha moja
Sasa hivi makundi makundi yapo mengi ndo mana kila siku wale wanaharakati wanapost zaidi hata ya mara 100 kuwakumbusha watu tu sasa ile haihitajiki
Nilikwambia huko nyuma sikujua najadili na mtoto wa kike aliyevunja ungo juzi. Nadhani kosa sio lako.Wewe gaidi mwenye sigda ya kuinamishwa umekimbilia huku?
Pumbav, rudi kwenye uzi niendelee kukupelekea moto.
We binti nilishakwambia sikujua najadili na mtoto wa kike ambae ndio kwanza anajifunza kufua chupi.Wewe gaidi mwenye sigda ya kuinamishwa umekimbilia huku?
Pumbav, rudi kwenye uzi niendelee kukupelekea moto.
Sio uzuri. Sema ubaya.Uzuri wa hizo shaba wanakula hadi watu wasiohusika.
lazima tuwamalize nyie wauaji,kwanza mmelaaniwa kwa kuua watanzania ovyoovyo hata mama yenu anajua muda wake umeisha lazima aondokeIwe kesho iwe mwakani mkiweka tu pua barabarani mama zenu watalia sana.
Upumbavu wenu mwaka huu utaisha rasmi
Fuatilia kuhusu Nepal na Madagascar asilimia kubwa ya Raia walikuwa wanaongea lugha moja almost kila mtu ameguswaBasi wewe akili yako ni finyu asilimia 80 ya watanzania awamtaki kahaba na sisiemu yake .. sasa lugha gani hiyo unayo izungumzia wewe na ilitokea nchi gani kuwa raia wote wakawa na lugha moja kuliko tulivyo tz kwa sasa ....maandamano yote yaliyo fanikiwa yaliungwa mkono na watu chini ya asilimia 60 tu na yakafanikiwa .. wewe unadhani samia na Rostam azizi na kikwete na abdul na mafwele watakuja kuunga mkono maandamano ya kuwaondoa wao wenyewe πππili hiyo asilimia 100% itokee ...primitive sense
Wewe gaidi acha porojo.Nilikwambia huko nyuma sikujua najadili na mtoto wa kike aliyevunja ungo juzi. Nadhani kosa sio lako.
Mama Texas Tiger alikosea kukuzaa bila kujua babako ni nani
Na hii ndio changamoto kubwa mtoto wa kike kukosa malezi ya baba .
Sasa wewe unarusha mipasho toka asubuhi .
Jana ulidai utaandamana
Leo unasema uko mkuranga safari. π€£
We binti nilishakwambia sikujua najadili na mtoto wa kike ambae ndio kwanza anajifunza kufua chupi.
Nimeligundua hilo ulinambia nikukome π€£.
Na mimi kwa sababu ni mzee mwenye wajukuu km nimeona ni kosa kubwa kujadili na vitoto vya zinaa humu.
Ni kupoteza muda na kujaza server za JF .
Wewe kwanza muombe mama Texas Tiger akusaidie kumtambua baba aliyechangia mbegu.
Kisha usije kujidanganya kufuata waandamanaji haramu. Watakunajisi hatari . Hao sio kaka zako .
Shauri yako.
Kama Tanzania hatuongei lugha moja!?ππππ niambie mbona samia na ccm awakupigiwa kura hata na mikoa yenye waislamu wengi. Vituo vyote vilibaki vyeupe hata hapa dar es salaam nionyeshe video hata moja ya foleni watu wakipiga kura ...tumia akili sisi tupo pamoja kuliko hizo nchi ulizo taja sema kitu kinacho tatiza ni STATE CAPTURE YA RAIA FEKI KINA ROSTAM AZIZI NA UZANZIBAR NA UARABU ..wazanzibari wanafanya juu chini wambakishe samia kwa maslai yaoFuatilia kuhusu Nepal na Madagascar asilimia kubwa ya Raia walikuwa wanaongea lugha moja almost kila mtu ameguswa
Huku kwetu bado haijawa hivyo ndiyo maana hata wewe leo umeshinda chumbani na majority ya Watanzania hawajaguswa directly na udhalimu wa hii serikali
Ndo ukweli huo watu hawako tayari ndiyo maana kila siku humu watu walikuwa wanaanzisha nyuzi za kuhamasisha, huko mitandao mingine wale wanaharakati kila dakika wanakuja na post mpya ya kuhamasisha zikiwemo post za kutunga uongo kutia hasira wananchi
π€£π€£π€£
Mtu kama wewe utaamini hii taarifa
View attachment 3513671
Unamuita huyo mwanamke asie na heshima Jemedari?Kabisa. Hata mimi nimemwambia awe na heshima na Mange. Mange ndio jemedari wa hii vita
Achana na huyu jobless Foffana hana elimu na amejaa ujinga kichwaniBasi wewe akili yako ni finyu asilimia 80 ya watanzania awamtaki kahaba na sisiemu yake .. sasa lugha gani hiyo unayo izungumzia wewe na ilitokea nchi gani kuwa raia wote wakawa na lugha moja kuliko tulivyo tz kwa sasa ....maandamano yote yaliyo fanikiwa yaliungwa mkono na watu chini ya asilimia 60 tu na yakafanikiwa .. wewe unadhani samia na Rostam azizi na kikwete na abdul na mafwele watakuja kuunga mkono maandamano ya kuwaondoa wao wenyewe πππili hiyo asilimia 100% itokee ...primitive sense