Mange komavi Anastasia heshima gani yule mwanamke aliekosa mafunzo ya wazazi wake.?.Kuwa na heshima hata kidogo na Mange mdau.
Kumbe wewe ni mpumbavu eeh? Haya mambo ya kutekana yalivyo obvious mhusika wake unataka uletewe ushahidi? Rasmi you deserve to be in a trashTatizo ni radio vifua.
Nani kaleta ushahidi usio na shaka yyt kuwa askari wetu waneteka wananchi?
Dr Slaa kwa kauli yake amesema CHADEMA wamekuwa wanatekana wao kwa wao na yeye ni shuhuda. Km kasema uongo au ni kada wa CCM kwanini CHADEMA wasimfungulie mashtaka ya deformation of character) kuharibu jina na sifa ya chama chao?
Lissu si mwanasheria? Kwanini alikaa kimya zaidi ya kutoa kashfa tu.?
Hapo ndio utafahamu kuwa hata hao CHADEMA wana machafu mengi ambayo yaliwazuia kumshtaki DR SLAA.
Kama kuna mwananchi yyt mwenye ushahidi Usio na shaka kuwa mtu wake ALITEKWA NA POLISI mahakama za kimataifa zipo. Km DR Slaa ni muongo basi Tuone km kweli hawatekani wao kwa wao wamfungulie kesi.
Tuache jazba tu na kukurupuka. Ndio maana hawa mafisadi wanashinda wapinzani hata kwenye majukwaa ya kimataifa.
Mpumbavu babako.Kumbe wewe ni mpumbavu eeh? Haya mambo ya kutekana yalivyo obvious mhusika wake unataka uletewe ushahidi? Rasmi you deserve to be in a trash
Yaani jirani akisema ndii ukweli? Naona umeishiwa na mifano hadi unakuja na mifano irrelavant.Yaani aje jirani aseme mkeo malaya na yeye amelala nae tena mbele ya ummah. Wewe usubiri jirani huyo huyo athibitishe kuwa kweli kalala na mkeo ? 🤣
Kujadili na watu wenye IQ Sampuli yako ni kupoteza wakati tu.
I rest my case.
You belong to the trash bin you motherfvckerMpumbavu babako.
Obvious to who?
Mnadhani watanzania wooote wapumbavu wabebe kila uharo mnaomwaga mitandaoni?
Kutekana ipo toka wakati wa nyerere tena sana tu
Swali nawauliza nyie vichwa maji! Mna jina la hao watekaji au ushahidi usio na shaka?
Majitu mengine kamasi tupu kichwani.
Naunga mkono hojaSikukuu aiache a move January. Ile tarehe rasmi ya wanafunzi kufungua shule ili watoto waongezewe likizo days🤣🤣🤣🤣
Wenzetu pia walipata saport ya jeshi sisi tumekosa saport hiyoKama Tanzania hatuongei lugha moja!?🙄🙄🙄🙄 niambie mbona samia na ccm awakupigiwa kura hata na mikoa yenye waislamu wengi. Vituo vyote vilibaki vyeupe hata hapa dar es salaam nionyeshe video hata moja ya foleni watu wakipiga kura ...tumia akili sisi tupo pamoja kuliko hizo nchi ulizo taja sema kitu kinacho tatiza ni STATE CAPTURE YA RAIA FEKI KINA ROSTAM AZIZI NA UZANZIBAR NA UARABU ..wazanzibari wanafanya juu chini wambakishe samia kwa maslai yao
Hahahahaha yaani kumbe mko serious mna mtegemea huyu Mange?Mpe heshima yake Mange. Ukianza kumchokonoa Mange pambano tunashindwa.
Tar 25 haijakaa vizuri coz ni xmas ambayo wanaosherehekea ni wakristo hivyo waislamu haitowahusu ,ni kupanga siku ambayo serikali haiwezi kuzuia ,kuna mdau ameshauri siku ambayo wana event kwenye public ndiyo Gen nao wanapanga yao.Nina wasiwasi na huyu mdada inawezekana kashachukua pesa
Analeta story za maandamano tarehe 25 yaani siku ya Christmas?
Serious? Yaani watu waache kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka wafungiwe Tena ndani?
Hapana me nakataa maandamano yaendelee kesho mpaka kueleweke
Na kila msaliti yeyote atakaye kula pesa umma kwa kuhongwa hazitapike au aende CCM tujue kwamba sio mwenzetu.
Watu wetu washakufa eti tuendelee kusubiri tarehe 25.
Kesho tukutane mnazi mmoja uelekeo Ikulu
Mange Kama umekula pesa za walipa Kodi utazitapika acha utapeli.
Jamaa ajui yote hayo ...ndiyo maana kwa akili zake finyu anabeza nguvu za maandamano ya 29 ...wenzetu walipata saport ya jeshi pia awakuwa na vikosi vya mauaji vya kutoka nje au vya kukodi au vya ndani ...pia awakupewa amri ya kuua kutoka kwa Rais ...sisi ni tofauti kabisa ndiyo maana samia kakataliwa na jumuia za kimataifa na kufunguliwa kesi ICCWenzetu pia walipata saport ya jeshi sisi tumekosa saport hiyo
Yasni mpambsne kupiga ban acc yake ndo achukue hela?Nina wasiwasi na huyu mdada inawezekana kashachukua pesa
Analeta story za maandamano tarehe 25 yaani siku ya Christmas?
Serious? Yaani watu waache kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka wafungiwe Tena ndani?
Hapana me nakataa maandamano yaendelee kesho mpaka kueleweke
Na kila msaliti yeyote atakaye kula pesa umma kwa kuhongwa hazitapike au aende CCM tujue kwamba sio mwenzetu.
Watu wetu washakufa eti tuendelee kusubiri tarehe 25.
Kesho tukutane mnazi mmoja uelekeo Ikulu
Mange Kama umekula pesa za walipa Kodi utazitapika acha utapeli.
Ni non stop protest so hakuna kliichoharibika ,serikali km inaweza iendelee na lockdown tu plus road blockTar 25 haijakaa vizuri coz ni xmas ambayo wanaosherehekea ni wakristo hivyo waislamu haitowahusu ,ni kupanga siku ambayo serikali haiwezi kuzuia ,kuna mdau ameshauri siku ambayo wana event kwenye public ndiyo Gen nao wanapanga yao.
Ndo uzuriUzuri wa hizo shaba wanakula hadi watu wasiohusika.
Tarehe 29 kama tunhepata saport ya wanajeshi hata 10 tu tungekuwa tushakomboa inchi yetuJamaa ajui yote hayo ...ndiyo maana kwa akili zake finyu anabeza nguvu za maandamano ya 29 ...wenzetu walipata saport ya jeshi pia awakuwa na vikosi vya mauaji vya kutoka nje au vya kukodi au vya ndani ...pia awakupewa amri ya kuua kutoka kwa Rais ...sisi ni tofauti kabisa ndiyo maana samia kakataliwa na jumuia za kimataifa na kufunguliwa kesi ICC
Teh teh teh.You belong to the trash bin you motherfvcker
Sasa mbona ata Leo ulijichimbia uvunguni hukuthubutu kutoka kwenda kulinda icho kiduka chakoYaani unajikusanya miaka unafungua kiduka chako anakuja mpuuzi mmoja kuvunja na kuiba anasema anaandamana?
Safari hii hakuna kusubiri polisi atakaethubutu kuvunja tunadili nae hata sura haitatambulika.