Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

naisikitikia nchi yangu aisee daah ndio kuiga huku jamani huyo ndio unategemea awe mke wako hv huyo dem nae ni maku sasa akitafuna na kumeza ww pimbi unajickiaje aisee ipo cku utaliipwa hapa hapa duniani sasa na ww ukifa huyo dem atakulilia c ndio, utakuja kupata balaa hutojua labda na ww unaombaga mungu nisaidie nyie ndio mnakuja kuzaa watoto hawaeleweki umenikera ww hvi nikikuua ntaitwa gaidi some time naonaga bora ningekuwa mchina wajinga nyinyi ndio maana tanzania hatuendelei.
 
Umeshampa cancer ya koo. Pale Ocean Road kuna Dr. Bingwa wa Cancer alitupa somo la throat cancer.na hiyo ni one of the cause plus sigara na sumu nyinginezo. Pia zinaleta fungus kwenye mdomo na koo.
 
Mbegu haikutengenezwa kwa ajili ya kuliwa. kinachotokea ikiliwa ni mbegu yenyewe kufa maana ni hai. lakini inaweza kuleta matatizo kwenye mfumo wa chakula. Mgonjwa kama fungus yanaweza kuenezwa kwa urahisi ikiwa mmoja wapo anayo kutoka kwenye mdomo kwenda kwenye uume au kutoka kwenye uume kwenda mdomoni na hatimaye mfumo wa chakula
 
Madhara ya kumeza manii ni kuambukizwa magonjwa yatokanayo na ngono (Ukimwi, gonorrhea, syphilis etc) katika mfumo wa chakula (ulimi, koromeo, tumbo na utumbo). Faida ni kuwa manii zina proteing nyingi hivyo zina virutubisho Hata hivyo akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
Huyo alikosea angevaa condom hayo yoote yaasinge tokea ,ila hilijamaa katili sana usikute hata mavi limemlisha dam.
 
Wewe na mbuzi nani bora? Wewe na kitimoto nani bora? Mbona hawa wanyama tajwa hawafanyi uchafu kama unaofanya wewe? We na demu wako wote ha..m.na.z.o.
 
hili tatizo la wifi sio manii kumeza
kibiyolojia zile ni protein in nature ni kama mtu agonge yai bichi na kulinywa

kama huwa ni nyingi My teacher told me hata kiepe inafaa kukaangia

TATIZO LA KIFUA CHA WIFI NI WEWE NA KITAMBI CHAKO KILO ZAKO 100 NGAPI??
tiba;CHANGE POSITION

Kama mtu anasuck hadi kunywa sperm hapo position lazima zinabadilishwa usikute hata 0655 jamaa anajimegea taratibu sikuhizi uzunguzungu tu.
 
Mtoa mada ni mwanamke au mwanaume? Nijulisheni, nina hoja nzito!
 
Jaribu na we we unywe ya kwake halafu uangalie km nawe utakohoa sana basi ujue haifai
 
Wewe na mbuzi nani bora? Wewe na kitimoto nani bora? Mbona hawa wanyama tajwa hawafanyi uchafu kama unaofanya wewe? We na demu wako wote ha..m.na.z.o.

Subiri kuuguza kansa ya koo na utumbo
 
Back
Top Bottom