Wale wale waliokuwa wanashangilia mapendekezo ya tume ndiyo hao hao hawajatekelezi na wengine kuagiza kuvunjwa kwa sheria hizo hizo. Yaani Polisi ya sasa inavunja sheria kuliko hata Polisi ya kabla ya tume. Sasa faida ya hizi tume ni nini! Au Tuwe na tume maalumu kwa vyama na makundi na sio kwa nchi!. Polisi na usalama wa taifa badala ya kufanya kazi watoto wanabakwa ushindani huko Congo ! wamekuwa wanafanya kazi kwa Chama cha mapinduzi!!
View: https://www.youtube.com/watch?v=ofeaNSfXkhs&t=14s
View: https://www.youtube.com/watch?v=ofeaNSfXkhs&t=14s