Una sh. Ngap nikusaidie kumshawishi Kelsea akukubalieHawa wananipiga vibuti kila leo huko pm...mbususu ya hawa warembo mie kuiona ni mpaka yesu arudi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena kama huyo Kelsea ananiona mie kama utopolo tuu
Wee mie jobless hapa nakuna pumbuz tuu. Hawezi nikubaloa mwanaume joblessUna sh. Ngap nikusaidie kumshawishi,
Tunaelewana Sana Hawezi kukukatalia nikimbembeleza mimi[emoji4]
True,I see mkuu,,afu kupitia hili tunakuja kuoa/kuolewa na somebody ambae Kuna somebody akimtaka anytime atakuwa available[emoji16]
Wee huyo kaacha ndoto yake ya kuolewa na tdh kwa ajiri ya andunje mwenye pesa....acha bwana pesa inakupatia demu yoyote utakaye
Money talks siku zote , ukiwa na pesa utakula mpaka ukinaiKwanza suala zima la mapenz wanawake na Wanaume wametofautiana sana
1. Mwanaume anaweza kusex na mwanamke asiyempenda na bado akaenjoy sex
2. Mwanamke Hawez kusex na mwanaume asiyempenda, ukiona umepewa jua kakupenda
Ati nini 😂 yaani hadi mapigo ya moyo yameanza kwenda kasi
Omba iwe huyo demu hayumo humu, ila kwa comment zako za kuwa ulisex nae kwa nyege zako na hukutaka watu wakuone nae, basi ujue misaada yote anayokupa unapokwenda kazini kwake ndio usahau kwa sasa, na subiri uone chuki za kike! Umejiharibia!!!!Kawaida Sana kwa wapenz wetu wa kishule shule,
Mapenz ya vile kuisha Ni ngumu mno,
Maana mlipendana naturally bila influence ya pesa,umaarufu Wala cheo.
Nna binti aliwai kunipenda sana Tangu Tuko sekondar, binafs sikumpenda maana nilikua player na nilikua na option lukuzi za mabinti wazur sana kuliko yeye na pesa ilikuepo.
Hata kumtongoza nilimtongoza TU Kwasababu ya nyege zangu mazingira alikaa vibaya, baada ya kusex nae nikapita kushoto maana hata kutoka nae out kwa Watu nilimkwepa.(Hakua type yangu).
Kumbe yeye ndo alizid kunipenda sana.
Nowdays kaajiliwa pale wizara ya viwanda&biashara.
Ananisaidia mambo mengi ya kiserikali Kama ex wake na rafiki Yake.
Happy naona kabisa anataman tukumbushe na Kuna mwaka niliwai kujizima data nikataman tukapashe kiporo kdg ila nafs ikasita maana yakishaingia mapenz michongo yangu ataikwamisha na huenda akaniganda Sana.