Huyu the Genius tumeshamjua. Tumejua kuwa hakufanyiwa vetting ya uhakika 2015 kwa iyo alipita kimakosa tu.
Mwaka huu tunaenda kumuweka pembeni maana tumegundua hafai kwa mustakabali wa nchi hii. Ni mtu mbaguzi, mwenye chuki na roho mbaya kupindukia. Ni mdini mkubwa nayejificha udini wake kwenye kuwahonga viongozi wa dini.
Anaingia Lissu kuwa Raisi ili tuweke mfumo imara wa katiba, sheria na taasisi imara za kuwekeza kuisimamia nchi vizuri na kuzibiti madaraka ya Raisi.
Tulikosea sana 2015. Hatutakosea tena 2020