Je, Marais wote duniani wakiwa wanawaambia 'Wateule' wao kuwa wasiwe kama Misikiti / Makanisa 'wanapoongoza' Watu humaanisha nini kati ya yafuatayo?

Je, Marais wote duniani wakiwa wanawaambia 'Wateule' wao kuwa wasiwe kama Misikiti / Makanisa 'wanapoongoza' Watu humaanisha nini kati ya yafuatayo?

Mleta mada naona umemvalia njuga Magufuli anyway uchaguzi ukiisha tutajuana mbele kwa mbele wewe endelea tu na chokochoko zako
Mkuu mbona una shingo ngumu,Nabii mwingira ashawafunulia maono aliyooneshwa na Mungu,muda huo utakuwa huko chattle unawatishia ngo,MBE wako na wale tausiWa wizi.
 
Mleta mada naona umemvalia njuga Magufuli anyway uchaguzi ukiisha tutajuana mbele kwa mbele wewe endelea tu na chokochoko zako
Tafuta wa 'Kuwatishia' hivi na siyo Mimi 'Pumbavu' sawa? Hii ni 'Damu' halisi ya 'Kitutsi' na ninaweza 'Kukuwahi' Wewe na ukawa 'Historia' duniani.
 
Matisho ni ya nini sasa Mkuu ,kwani sio kweli haya yana zungumzwa kwa Sababu yamekuwa yakijirudia kutoka kwa Bwana mkubwa ?
Ciril Mdogo wangu huyo 'Mpumbavu' wala 'asikuogopeshe' na hana 'Ubavu' wa Kunifanya lolote lile ila Mimi nikimuamulia tu 'namuondoa' mapema.
 
Lissu anazunguka mjini Mtupoli roho inamfurukuta.
Magufuli hajuhi Kidhungu, hatutaki tena rais asiejua kidhungu.

#NIYEYE #LISSURAIS2020
 
Tafuta wa 'Kuwatishia' hivi na siyo Mimi 'Pumbavu' sawa? Hii ni 'Damu' halisi ya 'Kitutsi' na ninaweza 'Kukuwahi' Wewe na ukawa 'Historia' duniani.
Hakuna mtusi hata mmoja aliye mjinga kama wewe
 
Hakuna mtusi hata mmoja aliye mjinga kama wewe
Na hakuna Mtanzania hata Mmoja kati ya ninaowafahamu aliye Mpumbavu ( Popoma ) kama Wewe. Eti 'unanitishia' Mimi 'Mafia' kabisa. Swine!!!!
 
Maana yake uwe shetani!

Ikiwa mithili yako inaondolewa kuwekwa mbali na nyumba za ibada maana yake uwe kinyume na hizo nyumba na uwe kinyume na mafundisho ya hizo nyumba.

Uwe shetani.
 
Je,

1. Wasiwe Wapole sana?
2. Wawe na Roho mbaya mno?
3. Wawamalize Maadui zao mapema ili wasiwasumbue mbeleni?
4. Wawe wanamfurahisha Yeye zaidi na siyo anaowaongoza?
5. Wahakikishe Maslahi ya Vyama vyao hao Marais ndiyo yanazingatiwa?
6. Wafanye Tukio Kubwa na Baya kwa Jamii ila ambalo litafurahiwa na kupongezwa na hao Marais?
7. Wakazane katika Miradi mbalimbali ili Chenji zinazobaki basi wawe wanawapelekea haraka Ikulu hawa Marais?

Karibuni katika Kuchangia japo nitapenda kupata Michango yenu Kamili yenye 'Uzoefu' zaidi katika hili ili nami GENTAMYCINE nijifunze mengi pia.
Yeye mwenyewe anavyowafanyia watu si unaona?
 
Je,

1. Wasiwe Wapole sana?
2. Wawe na Roho mbaya mno?
3. Wawamalize Maadui zao mapema ili wasiwasumbue mbeleni?
4. Wawe wanamfurahisha yeye zaidi na siyo anaowaongoza?
5. Wahakikishe Maslahi ya Vyama vyao hao Marais ndiyo yanazingatiwa?
6. Wafanye Tukio Kubwa na Baya kwa Jamii ila ambalo litafurahiwa na kupongezwa na hao Marais?
7. Wakazane katika Miradi mbalimbali ili Chenji zinazobaki basi wawe wanawapelekea haraka Ikulu hawa Marais?

Karibuni katika Kuchangia japo nitapenda kupata Michango yenu Kamili yenye 'Uzoefu' zaidi katika hili ili nami GENTAMYCINE nijifunze mengi pia.
Soma The Philosophy of Machiavellianism.
 
Chanakya (ancient Indian Philosopher of modern economic theory of India) aliwahi kusema"Don't become honest too much, the straight tree is cutting first, honest people are killed first".............

Maisha yapo lakini ni mafupi sana tujifunze hata kwa Yesu Kristo (Issa Ibn Mayam)
 
Back
Top Bottom