Je, Marais wote duniani wakiwa wanawaambia 'Wateule' wao kuwa wasiwe kama Misikiti / Makanisa 'wanapoongoza' Watu humaanisha nini kati ya yafuatayo?

Mleta mada naona umemvalia njuga Magufuli anyway uchaguzi ukiisha tutajuana mbele kwa mbele wewe endelea tu na chokochoko zako
Mkuu mbona una shingo ngumu,Nabii mwingira ashawafunulia maono aliyooneshwa na Mungu,muda huo utakuwa huko chattle unawatishia ngo,MBE wako na wale tausiWa wizi.
 
Mleta mada naona umemvalia njuga Magufuli anyway uchaguzi ukiisha tutajuana mbele kwa mbele wewe endelea tu na chokochoko zako
Tafuta wa 'Kuwatishia' hivi na siyo Mimi 'Pumbavu' sawa? Hii ni 'Damu' halisi ya 'Kitutsi' na ninaweza 'Kukuwahi' Wewe na ukawa 'Historia' duniani.
 
Matisho ni ya nini sasa Mkuu ,kwani sio kweli haya yana zungumzwa kwa Sababu yamekuwa yakijirudia kutoka kwa Bwana mkubwa ?
Ciril Mdogo wangu huyo 'Mpumbavu' wala 'asikuogopeshe' na hana 'Ubavu' wa Kunifanya lolote lile ila Mimi nikimuamulia tu 'namuondoa' mapema.
 
Lissu anazunguka mjini Mtupoli roho inamfurukuta.
Magufuli hajuhi Kidhungu, hatutaki tena rais asiejua kidhungu.

#NIYEYE #LISSURAIS2020
 

Tafuta wa 'Kuwatishia' hivi na siyo Mimi 'Pumbavu' sawa? Hii ni 'Damu' halisi ya 'Kitutsi' na ninaweza 'Kukuwahi' Wewe na ukawa 'Historia' duniani.
Hakuna mtusi hata mmoja aliye mjinga kama wewe
 
Hakuna mtusi hata mmoja aliye mjinga kama wewe
Na hakuna Mtanzania hata Mmoja kati ya ninaowafahamu aliye Mpumbavu ( Popoma ) kama Wewe. Eti 'unanitishia' Mimi 'Mafia' kabisa. Swine!!!!
 
Maana yake uwe shetani!

Ikiwa mithili yako inaondolewa kuwekwa mbali na nyumba za ibada maana yake uwe kinyume na hizo nyumba na uwe kinyume na mafundisho ya hizo nyumba.

Uwe shetani.
 
Yeye mwenyewe anavyowafanyia watu si unaona?
 
Soma The Philosophy of Machiavellianism.
 
Chanakya (ancient Indian Philosopher of modern economic theory of India) aliwahi kusema"Don't become honest too much, the straight tree is cutting first, honest people are killed first".............

Maisha yapo lakini ni mafupi sana tujifunze hata kwa Yesu Kristo (Issa Ibn Mayam)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…